Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.
Hata mwalimu hakutaka kukosolewa muulize kilichompata Bibi Titi,Kambona,Tutemenke sanga,James mapalala,Shariff Hamad.
Mwalimu na Magu hawana tofaut mmoja alikua cold mwingine hot
 
Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations


Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Hoja siyo zama.Hapo yanaelezwa matumizi bora ya kichwa chenye mbongo safi kwa tija dhidi ya utumiaji wa mabega kwa mwendo hobelahobela.Elewa jibu.
 
Waziri wa China alitua na dege kubwa pale uwanja wa Chato, Akapokelewa na yule msukuma.

Unajisahaulisha na raisi wa kampun ya BARIK pia alifunga safari akaja hapa nchini kutubu na hawakua marafiki ila alikuja! , ulizani ni raisi hao wanaojiona wakubwa kufunga safari mpaka chato ndo maana saiv mnafunga safari kilasiku kuwafata kuwaomba kisamaha.
 

Uyo bwege anajifanya haelewi, acha saivi wale nchi ila kama moto walipelekewa vya kutosha hawawezi kumsahau JPM.
 
Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Stori za mitaani hizi!

Alipeleka China wakati wewe ukiwa wapi? Embu elezea kiunagaubaga
 
Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.

Kila zama na mtume wake na wapo mitume na manabii, tukiweka iyo dhana kwenye uongozi bas Nyerere na Jpm ni mitume alafu hao walobaki ni manabii.
 

Walisha tutenganisha na wakati wao wameungana, walishatulisha tuaminisha wao walivyo ndo sawa sisi tulivyo sio sawa, kikubwa ni system!

Nikama unalimishwa shamba lako mwenyewe alafu unampa mazao ye anakupa ela alafu unaenda kununua chakula kilichotokana na mazao yako kwa pesa zaidi. Alafu anakuja kukukopesha faida ilotokana na nguvu yako alafu unashukuru kwa kumpigia magoti, ila fresh iko tutapata jembe mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…