bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mwalimu alijipitisha bila kupingwa kwa kuweka picha yake na kivuli,so hata mwalimu aliiba kuraMwendazake aliiba kura, Ruto aliiba kura, omba msamaha kwa kumfananisha mwalimu na wezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwalimu alijipitisha bila kupingwa kwa kuweka picha yake na kivuli,so hata mwalimu aliiba kuraMwendazake aliiba kura, Ruto aliiba kura, omba msamaha kwa kumfananisha mwalimu na wezi
Hata mwalimu hakutaka kukosolewa muulize kilichompata Bibi Titi,Kambona,Tutemenke sanga,James mapalala,Shariff Hamad.Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.
Hoja siyo zama.Hapo yanaelezwa matumizi bora ya kichwa chenye mbongo safi kwa tija dhidi ya utumiaji wa mabega kwa mwendo hobelahobela.Elewa jibu.Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Nonsense!.Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
StupidNonsense!.
Waziri wa China alitua na dege kubwa pale uwanja wa Chato, Akapokelewa na yule msukuma.
Walikuwa lazima waje ata Waziri mkuu wa India aliwahi kuja, Wachina awamu ya Tano waliisoma namba na wahindi, waligeuza nchi mali walikuwa wanaua Tembo wetu kukwepa kodi, kuanzisha viwanda bubu majumbani na kujiungia umeme kiwizi, Magufuli aliwakomesha kweli, hakuna jamii kutoka nje ya Tanzania yenye vibaka na wezi kama wachina.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Stori za mitaani hizi!Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.
Waafrika kutwa kulalamika kuhusu kuhujumiwa na wazungu shida hatuna akili timamu ukiwa na akili lazima utafute njia za kujinasua sio kutwa kulalamika as if wazungu ndo watawala wa bara la Afrika.
Shida kubwa la bara la Afrika ni ubinafsi na uroho wa madaraka na kupenda pesa hili kaburu Botha alisha wahi sema muda mrefu sana
"Mwafrika hawezi kujitawala"Botha
Hiyo sio sauti ya Nyerere, acheni uzushi
🤣🤣🤣🤣🤣Hii ni sauti ya Nyerere kabisa. Ukitumia Tecno kusiliza hii clip, sauti inatoka tofauti
Hawezi elewaswali ni Moja je ukiambiwa utaelewa?
Nani alikuwa nacho ?mwalimu hakuwa na chumba kilichojaa dola nyumbani kwake
Poor you...Uufanyie nini? Au unaulizia kitu ambacho hata hujui utakitumiaje? Kwa level yako pokea unachoweza kukimudu.
Malaya wahed badala ya kumsikitikia mama yako kwa kuzaa takataka unahangaika na wanaume.Poor you...
Nakusikitia
DaaaMalaya wahed badala ya kumsikitikia mama yako kwa kuzaa takataka unahangaika na wanaume.