Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Ushahidi wa hizo dola kwenye chumbamwalimu hakuwa na chumba kilichojaa dola nyumbani kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi wa hizo dola kwenye chumbamwalimu hakuwa na chumba kilichojaa dola nyumbani kwake
Usimfananishe Nyerere na vitu vya Kijinga kutoka ChatoHabari JF,
Hayati mwalimu Nyerere, JPM na sasa Ruto hawatofautiani sana mitazamo yao kuhusu Mabeberu.
Tazama hii clip kuna vitu vingi utajifunza vilivyo tokea na vinavyotokea sasa kama Msamaha wa bure wa Mbowe, Maridhiano, Operation ya gharama kubwa ya 255, maandamo nchini Kenya na mengine mengi sana.
Je, hatuwaelewi hawa viongozi au hawako sahihi?
View attachment 2628390
Ww siku zote ulikuwa wapi nachukia nyinyi wanafiki wa kunyongwa hadharaniHuwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Huna akiliUsimfananishe Nyerere na vitu vya Kijinga kutoka Chato
Vitu gani vya kijinga kutoka Chato na ni ujinga upi?Usimfananishe Nyerere na vitu vya Kijinga kutoka Chato
Zirudisheni sasa kama zipo huko China. Tatizo ni nini? 😀Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Ushahidi uko wapi au ni wivu wa kike tu ndo unawasumbua? 😀Mkuu hizo pesa zimerudishwa?
Saa nyingine kuficha upumbavu ni bora kuliko unavyouonesha wazi , WASUKUMA MKOJE ?Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Usifananishe enzi za ujamaa na zama za ubepari alizokuta Magufuli. Hii nchi kwa sasa ni ya kijamaa kwa mdomoni tu ila its purely Capitalistic.Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.
Kwamba hatuna uwezo wa kutambua hadi tuambiwe. Au kwakuwa ww unasubiri kuambiwa, unadhani kila mtu ni kama ww.Tatizo mnamini kila mnacho ambiwa
Sawa but nyerere aliiba kiasi gani kwa nchi utamlinganisha magufuli ambaye alihonga mpaka nyumba za serikali ? Guy be serious basiMwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Mjinga ni yeye yaani anashabikia uongozi wa kidicteta miaka hii ya 2023Elezea ujinga uliopo hapo ? Wafuasi wa mwendazake huwa mnachagua ya kuyaamini, msioyayaamini mnaita ni ujinga
Upuuzi!
Wafuasi wa yule mzee sijui mnafikiria kwa kutumia nini,Kwani Chato ni DRC hapakutakiwa kupelekewa maendeleo au kwenye katiba ilishasema msipeleke maendeleo Chato? Mbona kapeleka maendeleo dodoma mpaka ikulu kajenga hamlalamiki wanajisifu kujenga ikulu ni wengine mbona kajenga Dar mafyover na stendi hamlalamiki mbona kajenga hospital kubwa ya mwalimu Nyerere memories mbona kaweka mradi wa maji Arusha hamlalamiki ila ajenda yenu Chato Chato kwahiyo mlitaka mwili wake ungepelekwa na Lori hadi chato?
Sasa mnatuletea majungu gani kutueleza pesa msiokuwa na ushahidi nazo je kama ni majungu mliomzushia sisi tuna uhakika gani maana Magufuli alikuwa na maadui wengi aliwatumbua kwa vyeti feki, walamba asali, majizi, mafisadi, wafanyabiashara wa siasa walioshindwa uchaguzi wakasingizia kuibiwa kura,wapi madili,wauza madawa ya kulevya,wote hao wanamchukia hatujui wewe ni kundi gani unaongea kwa unafiki na mihemkoToka lini pesa za Mabwege zikarudishwa?
Sasa shida iko wapi si mradi chato ni Tanzania kwani umekatazwa kuishi chato au una ajenda za chuki na chato?Wafuasi wa yule mzee sijui mnafikiria kwa kutumia nini,
Kiwanja cha kimataifa Chato ?
Zile pesa zilizofanya huyo babu yenu akamstaafisha CAG ziko wapi ?Sasa mnatuletea majungu gani kutueleza pesa msiokuwa na ushahidi nazo je kama ni majungu mliomzushia sisi tuna uhakika gani maana Magufuli alikuwa na maadui wengi aliwatumbua kwa vyeti feki, walamba asali, majizi, mafisadi, wafanyabiashara wa siasa walioshindwa uchaguzi wakasingizia kuibiwa kura,wapi madili,wauza madawa ya kulevya,wote hao wanamchukia hatujui wewe ni kundi gani unaongea kwa unafiki na mihemko
Sio kweli acheni unafiki na propaganda huyo CAG alikuwa abishana na bunge anajifanya muhimili na yeye wapi vidhibitisho alitumbuliwa kisa pesaZile pesa zilizofanya huyo babu yenu akamstaafisha CAG ziko wapi ?
Kipindi Nyerere anatawala wewe ulikuwepo na unamjua vizuri au unaongea majungu na mihemkoMwalimu was a visionary leader.