Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

Habari JF,

Hayati mwalimu Nyerere, JPM na sasa Ruto hawatofautiani sana mitazamo yao kuhusu Mabeberu.

Tazama hii clip kuna vitu vingi utajifunza vilivyo tokea na vinavyotokea sasa kama Msamaha wa bure wa Mbowe, Maridhiano, Operation ya gharama kubwa ya 255, maandamo nchini Kenya na mengine mengi sana.

Je, hatuwaelewi hawa viongozi au hawako sahihi?

View attachment 2628390
Usimfananishe Nyerere na vitu vya Kijinga kutoka Chato
 
Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Ww siku zote ulikuwa wapi nachukia nyinyi wanafiki wa kunyongwa hadharani
 
Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere. Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani ?.
Zirudisheni sasa kama zipo huko China. Tatizo ni nini? 😀
 
Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations

Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Saa nyingine kuficha upumbavu ni bora kuliko unavyouonesha wazi , WASUKUMA MKOJE ?
 
Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.
Usifananishe enzi za ujamaa na zama za ubepari alizokuta Magufuli. Hii nchi kwa sasa ni ya kijamaa kwa mdomoni tu ila its purely Capitalistic.

Nyerere aliwabana sana raia na mfumo wa kijamaa na ndio maana ilikuwa ni sumu kuhodhi mali. Kila kitu kilikuwa cha serikali. Hakuna mtu alikuwa na kiburi kuizidi serikali pia ufisadi ulikuwa almost zero. Access ya taarifa ilikuwa so limited yani hamna internet zaidi ya broadcast tena za nje ya nchi. Anachosema Nyerere huwezi kupinga maana taarifa zinaanzia kwake.

Magufuli kakuta mfumo ni tofauti nchi imeshahama iko kwenye information age na Capitalistic na watu wana hela kweli na wana Cartels. Namna yake ya kutawala ilikuwa ngumu sana sababu alikuwa anajaribu kuwa control mabepari. Hela nyingi iko kwa raia flani ambao wana run mabiashara makubwa na ufisadi umetamalaki mno system iko Corrupt to the Extreme.

Kwangu mimi Magufuli naweza sema ndie alikumbana na changamoto kubwa zaidi katika utawala tofauti na Nyerere.
 
Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere,
Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog,,low populations

Magufuli ametawala zama hizi za imperialism , digital+high populations
Sawa but nyerere aliiba kiasi gani kwa nchi utamlinganisha magufuli ambaye alihonga mpaka nyumba za serikali ? Guy be serious basi
 
Elezea ujinga uliopo hapo ? Wafuasi wa mwendazake huwa mnachagua ya kuyaamini, msioyayaamini mnaita ni ujinga

Upuuzi!
Mjinga ni yeye yaani anashabikia uongozi wa kidicteta miaka hii ya 2023

Yaani anamlinganisha nyerere ambaye mpaka anaondoka ikulu account yake bank haikuwa na chochote na Hawa wahuni wa sasahivi miaka 2 madarakani mtu anavaa miwani ya milioni50 na msafara wa magari 100 so sad kumlinganisha baba wa taifa na uchafu mwingine wowote!!!!
 
Kwani Chato ni DRC hapakutakiwa kupelekewa maendeleo au kwenye katiba ilishasema msipeleke maendeleo Chato? Mbona kapeleka maendeleo dodoma mpaka ikulu kajenga hamlalamiki wanajisifu kujenga ikulu ni wengine mbona kajenga Dar mafyover na stendi hamlalamiki mbona kajenga hospital kubwa ya mwalimu Nyerere memories mbona kaweka mradi wa maji Arusha hamlalamiki ila ajenda yenu Chato Chato kwahiyo mlitaka mwili wake ungepelekwa na Lori hadi chato?
Wafuasi wa yule mzee sijui mnafikiria kwa kutumia nini,

Kiwanja cha kimataifa Chato ?
 
Toka lini pesa za Mabwege zikarudishwa?
Sasa mnatuletea majungu gani kutueleza pesa msiokuwa na ushahidi nazo je kama ni majungu mliomzushia sisi tuna uhakika gani maana Magufuli alikuwa na maadui wengi aliwatumbua kwa vyeti feki, walamba asali, majizi, mafisadi, wafanyabiashara wa siasa walioshindwa uchaguzi wakasingizia kuibiwa kura,wapi madili,wauza madawa ya kulevya,wote hao wanamchukia hatujui wewe ni kundi gani unaongea kwa unafiki na mihemko
 
Zile pesa zilizofanya huyo babu yenu akamstaafisha CAG ziko wapi ?
 
Back
Top Bottom