Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

Nikisikiliza hii clip nazidi kuelewa kwanini hayati Magufuli na sasa Rais Ruto anakutana na ugumu katika kuongoza nchi

Saa nyingine kuficha upumbavu ni bora kuliko unavyouonesha wazi , WASUKUMA MKOJE ?
Mnajua nyie ni wanafiki wakubwa ndio mnaeneza ukabila na ukanda halafu ndio wa kwanza kumtuhumu Magufuli alikuwa na ukabila hapa unaongea uharo gani sasa kutaja taja ukabila kwa akili yako ya vyeti feki kila aliyempenda Magufuli ni msukuma
 
Sasa mnatuletea majungu gani kutueleza pesa msiokuwa na ushahidi nazo je kama ni majungu mliomzushia sisi tuna uhakika gani maana Magufuli alikuwa na maadui wengi aliwatumbua kwa vyeti feki, walamba asali, majizi, mafisadi, wafanyabiashara wa siasa walioshindwa uchaguzi wakasingizia kuibiwa kura,wapi madili,wauza madawa ya kulevya,wote hao wanamchukia hatujui wewe ni kundi gani unaongea kwa unafiki na mihemko

Magufuli hakuwa na usafi wowote wa kudhibiti mafisadi, ndio maana aliishia kukomoa wafanyabishara. Usiongee kama unamuongelea mtu muadilifu, kumbe alikuwa mlevi fulani wa madaraka.
 
Magufuli hakuwa na usafi wowote wa kudhibiti mafisadi, ndio maana aliishia kukomoa wafanyabishara. Usiongee kama unamuongelea mtu muadilifu, kumbe alikuwa mlevi fulani wa madaraka.
magu alikufanya kitu kibaya sana mdogo wangu...wewe kama sio vyeti feki ni bahati sana
 
magu alikufanya kitu kibaya sana mdogo wangu...wewe kama sio vyeti feki ni bahati sana
Mkuu mimi sio vyeti fake ila nina PhD fake kama ya dhalimu. Narudia tena, dhalimu hakuwa muadilifu, bali mlevi wa madaraka aliyependa sifa za bei rahisi.
 
Wazungu hawataki tujitawale, wanaamni sisi ni vibarua wao.
Naamini wanataka tujitawale na tuishi kwa amani bila kuwasumbua, tatizo wanaona kama tuko beyond help, wazungu hawatuhitaji hata tuwe vibarua wao na hata kufanya biashara na sisi wanaona ni useless tuu, naamini zaidi ya malighafi zetu hakuna kitu wanahitaji kutoka kwetu, matatizo mengi ya Africa ni sisi waafrica wenyewe, rushwa, utawala wa ovyo usio huru wala haki, mipango mibovu ya kiuchumi, imagine na ardhi yote na maji tuliyo nayo lakini mpaka leo kuna watu wanakufa na njaa na tunaagiza mchele, ngano ,mafuta ya kula etc mtu mmoja anaiba uchaguzi nchi nzima kuweka watu wake na kuzima internet nchi nzima halafu unategemea mabeberu wakae kimya, wale wanaona kuliko unavyoona wewe na wanajua mambo kama hayo ndio chanzo cha failed state, hawawezi support ujinga kama huo wa viongozi wa Africa
 
Sio kweli acheni unafiki na propaganda huyo CAG alikuwa abishana na bunge anajifanya muhimili na yeye wapi vidhibitisho alitumbuliwa kisa pesa
Mbona mnatetea mambo ya kipuuzi sana, Africa hatutokuja kuendelea kamwe na tutakua chini ya hizi ngozi nyeupe milele kwa sababu ya watu kama nyinyi.

Unamtetea binadamu ambae hakukamilika kana kwamba alikamilika,


Yani uwizi wa wazi ati sio kweli, Eti unafiki.

Tuna safari ndefu.
 
Usimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.
vipi kuhusu kina kambona and the like
 
Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere.

Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani?
Huyo mama yako unamwamini sana, hujui ni dishi? Alosema Mbowe ni Gaidi kakamatiwa Kenya na Magaidi wenzie wameshahukumiwa vifungo ni nani kama siyo huyo mama? Mwambieni azirudishe hizo pesa.
 
Back
Top Bottom