Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Uwe na heshima kijana, unatukana wazee wako mitandaoni.Kipindi Nyerere anatawala wewe ulikuwepo na unamjua vizuri au unaongea majungu na mihemko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na heshima kijana, unatukana wazee wako mitandaoni.Kipindi Nyerere anatawala wewe ulikuwepo na unamjua vizuri au unaongea majungu na mihemko
Mnajua nyie ni wanafiki wakubwa ndio mnaeneza ukabila na ukanda halafu ndio wa kwanza kumtuhumu Magufuli alikuwa na ukabila hapa unaongea uharo gani sasa kutaja taja ukabila kwa akili yako ya vyeti feki kila aliyempenda Magufuli ni msukumaSaa nyingine kuficha upumbavu ni bora kuliko unavyouonesha wazi , WASUKUMA MKOJE ?
Huo mtazamo wako unakaukweli!Mwendazake ni zaidi ya mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Mwalimu alitawala enzi za ujima na analog, low populations
Magufuli ametawala zama hizi za imperialism, digital+high populations.
Sasa mnatuletea majungu gani kutueleza pesa msiokuwa na ushahidi nazo je kama ni majungu mliomzushia sisi tuna uhakika gani maana Magufuli alikuwa na maadui wengi aliwatumbua kwa vyeti feki, walamba asali, majizi, mafisadi, wafanyabiashara wa siasa walioshindwa uchaguzi wakasingizia kuibiwa kura,wapi madili,wauza madawa ya kulevya,wote hao wanamchukia hatujui wewe ni kundi gani unaongea kwa unafiki na mihemko
magu alikufanya kitu kibaya sana mdogo wangu...wewe kama sio vyeti feki ni bahati sanaMagufuli hakuwa na usafi wowote wa kudhibiti mafisadi, ndio maana aliishia kukomoa wafanyabishara. Usiongee kama unamuongelea mtu muadilifu, kumbe alikuwa mlevi fulani wa madaraka.
Mkuu mimi sio vyeti fake ila nina PhD fake kama ya dhalimu. Narudia tena, dhalimu hakuwa muadilifu, bali mlevi wa madaraka aliyependa sifa za bei rahisi.magu alikufanya kitu kibaya sana mdogo wangu...wewe kama sio vyeti feki ni bahati sana
Sio kila Sukuma gang ni msukumaSaa nyingine kuficha upumbavu ni bora kuliko unavyouonesha wazi , WASUKUMA MKOJE ?
Naamini wanataka tujitawale na tuishi kwa amani bila kuwasumbua, tatizo wanaona kama tuko beyond help, wazungu hawatuhitaji hata tuwe vibarua wao na hata kufanya biashara na sisi wanaona ni useless tuu, naamini zaidi ya malighafi zetu hakuna kitu wanahitaji kutoka kwetu, matatizo mengi ya Africa ni sisi waafrica wenyewe, rushwa, utawala wa ovyo usio huru wala haki, mipango mibovu ya kiuchumi, imagine na ardhi yote na maji tuliyo nayo lakini mpaka leo kuna watu wanakufa na njaa na tunaagiza mchele, ngano ,mafuta ya kula etc mtu mmoja anaiba uchaguzi nchi nzima kuweka watu wake na kuzima internet nchi nzima halafu unategemea mabeberu wakae kimya, wale wanaona kuliko unavyoona wewe na wanajua mambo kama hayo ndio chanzo cha failed state, hawawezi support ujinga kama huo wa viongozi wa AfricaWazungu hawataki tujitawale, wanaamni sisi ni vibarua wao.
HakikaYote aliyoyasema Mwalimu wakati ule ndio yanayofanyika hivi sasa.
Mbona mnatetea mambo ya kipuuzi sana, Africa hatutokuja kuendelea kamwe na tutakua chini ya hizi ngozi nyeupe milele kwa sababu ya watu kama nyinyi.Sio kweli acheni unafiki na propaganda huyo CAG alikuwa abishana na bunge anajifanya muhimili na yeye wapi vidhibitisho alitumbuliwa kisa pesa
vipi kuhusu kina kambona and the likeUsimlinganishe Nyerere na magufuli, nyerere was a charismatic, intellectual, visionary,
Diplomatic,
Hotuba zake zimeandikwa, zinaishi,
Magu alikuwa na staili yake, alikuwa hapendi kukosolewa, hataki upinzani, neno lake ni sheria.
Ulitaka ajenge wapi ?Yaani mwendazake aliyejenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato kijini kwake unamlinganisha na Mwalimu Nyerere?
Amgejamga uwanja wa ndege wa kimataota Nanyumbu kijijini mwako ambako hadi halimashauri haina senti kulipia posho madiwano ndo ungefirahi moyoni mwako?Ulitaka ajenge wapi ?
Hauna hojaAmgejamga uwanja wa ndege wa kimataota Nanyumbu kijijini mwako ambako hadi halimashauri haina senti kulipia posho madiwano ndo ungefirahi moyoni mwako?
Huyo mama yako unamwamini sana, hujui ni dishi? Alosema Mbowe ni Gaidi kakamatiwa Kenya na Magaidi wenzie wameshahukumiwa vifungo ni nani kama siyo huyo mama? Mwambieni azirudishe hizo pesa.Huwezi kumweka Mwendazake kundi moja na Mwl Nyerere.
Muulize zile fedha alizowenda kuficha China zilikuwa kwaajili ya shughuli gani?