Nikita nakutafuta wewe malaika uliyetumwa kwangu siku ya maandamano

Bado wewe siku ukijimix tutakuchoma pia PUMBAVU
 
Amen 🙏
Na asante sana Carleen
 
Bado najiuliza ule ujasiri niliutoa wapi?
Dada yangu amelia anasema nimerogwa 😀
Siyo natukana ndugu zako. Ila wewe ndiyo mwenye akili timamu au anaye jitambua kwenye familia yenu.
Bahati ipo kwa mtu atakayekuwa mumeo. Bahati kubwa zaidi kwa mwanaume na mwanamke walikuleta duniani.
Wewe ni nembo ya watu wachache waadilifu waliobaki duniani.
 
Ashukuliwe Mungu sana!!
 
Itakua umezaliwa nao hukujijua tu 😂

Na kweli maana kwa hali ilivyokua inatisha, familia haiwezi kukuelewa kirahisi.
Hivyo vifo na majeraha tuliyoyaona yanaogopesha 💔
Halafu huwezi amini ukiwa kwenye uwanja wa vita unakuwa na hali fulani ambayo hakuna cha kukutisha wala kukuogopesha..!!

Kuna vitu nimevi-experience ambavyo sio vya kawaida kabisa..
Natamani kuandika kila kilichotokea ilikuwa vichekesho, upendo, huzuni na uzalendo ule tuliousoma na kufundishwa mashuleni..!!

Kuna jamaa alikua comedian na ninavyopenda kucheka sasa alijiita bokasa 😹😹😹 alisema anamtafuta wema ampe mimba ya uzeeni na lazima ajifungue kwa operation eti nyonga zimekaza 🤣
 
Waliniambia kwanini nimeandamana na wakati naweza kujimudu kimaisha?

Nilichowajibu, “Mimi sio mbinafsi, napambana na kuwasemea wale ambao hawana wa kuwasemea na kuwapambania.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…