Nikitoa sh.4000 kwa wakala huwa naona aibu, wewe je?

Hata kutoa 2000 asubuhi, mchana unatoa tena na jioni tena ni matumizi mabaya ya rasilimali maana charges zitakuwa kubwa zaidi
Maana yake unatoa 2000 kwa dharula ya chap,lakini unajua kuna sehemu eidha unaenda kuchukua au umeacha kiasi nyumbani,hiyo ya kuchukua mchana na jioni ,ina maana hujitambui unahitaji nini na wakati gani,fedha inahitaji nidhamu ya matumizi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Arm ukitoa buku kwenye foleni wote wanajua maanake Italia mara moja tu taaa hela chini....ikitoa 100,000 utasikia tatatatstatatatata dk nzima!
 
Maana yake unatoa 2000 kwa dharula ya chap,lakini unajua kuna sehemu eidha unaenda kuchukua au umeacha kiasi nyumbani,hiyo ya kuchukua mchana na jioni ,ina maana hujitambui unahitaji nini na wakati gani,fedha inahitaji nidhamu ya matumizi.
Ni kweli mkuu
 
Unasema laki kubwa hivyo, mimi ilikuwa 10,000 kwenye akaunti yangu moja hivi aisee ilikuwa inaniumaa
Hizi akaunti nyingi 100,000 haitoki inabaki balance...unaona statement inasema available balance 1,500/-. Actual balance 101,500! Utatamani uingie ndani udai hela zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…