Huyo anataka nimfuate PM π π πAcha hizoo
kwa hiyo laki nne nayo pesa mkuu?
Kuna tatizo??πAcha hizoo
[emoji23][emoji23][emoji23] pacha una shida kweli weweHuyo anataka nimfuate PM [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HapanaKuna tatizo??[emoji849]
Lol πππnjoo tuu naweza pata nauli ya kesho mihangaikoni,.Huyo anataka nimfuate PM π π π
πHapana
Fungua mlangoLol πππnjoo tuu naweza pata nauli ya kesho mihangaikoni,.
Niahidi utanipa nauli kwanzaπFungua mlango
NitakupaNiahidi utanipa nauli kwanzaπ
Aww-yayyπππnakujaaa...Nitakupa
Nakusalim shogaa,..naona unacheka nlivyochacha ka mchuzi wa jogoo...lolπHahhahaaha
wiheha hangi?Hahhahaaha
Ndio maana nikauliza mkuu[emoji23]Kuna atm inatoa 4000?
Mto uzi yeye anaona aibuUmenikumbusha pale posta mpya Benjamin tower ATM ya chini karibu na benki ilikuwa inatoa hadi buku, daah nimezitoa sana buku buku kipindi hicho.
kuna kitu nimejifunza mkuu. hela kama yangu nisimwonee mtu aibu wala nini!Hebu, hiyo aibu unamwonea nani sasa? Wakati wa machuo huko nilikua napanga foleni kubwa tu NMB nachomoa buku 5 tu natoka nimeishika na card huyoo