G
guest-1788672427
Guest
Kipo kibaha njoo ununue basKipo wapi mrembo wangu nije tutengeneze maisha
Kipo kibaha njoo ununue basKipo wapi mrembo wangu nije tutengeneze maisha
Kibaha uko pakishamba sana, me natafuta masakiKipo kibaha njoo ununue bas
Sipendi kuitwa gen z kisa mwandiko mimiWewe ni mjukuu, siwezi kuwa na besti GenZ
DaahKibaha uko pakishamba sana, me natafuta masaki
Unatoaje namba kirahisi kaka?Asee , nipo moshi juzi kati tu akataka kunichoma kindezi , na nikafuatiliwa .
Sikujua nilifanya nini , ila huyo mpumbavu alipwe tena na agawe hizo namba nikamatwe tena kummmke.
Wanaokufuatilia watakuambia ni kwanini😁Kwa nini ? Mbona wala sina effect yoyote kisiasa humu?
Kwa ids tu au kwa kuwa unatufahamu?😂
ID tu mbele ya safari ndio unajua hujui!Kwa ids tu au kwa kuwa unatufahamu?😂
Bora umfahamu mtu kwanzaID tu mbele ya safari ndio unajua hujui!
Mkuu pole sana pole sana ndugu yanguBeira Boy ile ishu ilikuja kuwa kubwa asee, ikabidi nisepe
Naomba urafiki bestiHao wakuja pm mara wanaomba urafiki nawaonaga kama ******* tu! Mtu mzima unaomba urafiki uko sawa kweli huko nyuma? Usenge usenge tu!
Hilo dongo la mtu mdogoetu😎Naomba urafiki besti