October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Halima Mdee hatakiwi na alishafukuzwa Chadema. Cha ajabu hajawahi kutoka hadharani na kusema nini kilitokea. Kurejeshwa Chadema itatuvunja moyo. Halima kama anarejeshwa apewe masharti maalum na moja liwe kueleza hadharani nini kilitokea mpaka akafikiri yeye no mkubwa kuliko chamaHehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Huyu ni msaliti au malaya wa kisiasa. Kesho akipata uteuzi wa Samia anaondoka! Achana naye!Hehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Hata akirudi, hastahili kupewa cheo chochote si chini ya miaka mitano.Hehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Acha shobo mshindo!! CDM inakuhusu nn? Aliwe dem chumba cha jirani ukojoe wewe!!nonsense
Sikuwahi kujua kama ww kiongozi hii ndio id yako. Akina Halima kumbuka walienda hadi mahakamani kulinda ubunge wa kihuni. Ninachojua ni kuwa Mdee sio mfia chama bali ni mfia cheo. Mtu wa aina yake ndio hao watatumika kutoa Siri za chama. Arudi abaki bila cheo kama alivyo Dr. Slaa.Hehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Halima ana umuhimu kuliko wewe.Je huyo unayempigania amewahi kuomba kurudi Chadema?
Thubutu, ni kweli Mnyika amepoa sana, lakini Halima kuwa katibu bora chama kife.Arudi haraka sana, pia mnyika kwenye nafasi ya ukatibu amepwaya, ni wakati muafaka sasa chadema iiajiri katibu mwanamke, naye si mwingine bali ni Halima Mdee!!
calm down,Acha shobo mshindo!! CDM inakuhusu nn? Aliwe dem chumba cha jirani ukojoe wewe!!
Si aende vyama vingine?? Kwani kuna shida???Hata akirudi, hastahili kupewa cheo chochote si chini ya miaka mitano.
Basi HayaHalima ana umuhimu kuliko wewe.
Unayetaka afukuzwe hajawahi kusaliti CHAMA na ametumia nusu ya utajiri wake kusambaza ChademaMfukuzeni Erythrocyte chamani.
Halima na Slaa ni malaya wa kisiasa.Sikuwahi kujua kama ww kiongozi hii ndio id yako. Akina Halima kumbuka walienda hadi mahakamani kulinda ubunge wa kihuni. Ninachojua ni kuwa Mdee sio mfia chama bali ni mfia cheo. Mtu wa aina yake ndio hao watatumika kutoa Siri za chama. Arudi abaki bila cheo kama alivyo Dr. Slaa.
Sikuwahi kujua kama ww kiongozi hii ndio id yako. Akina Halima kumbuka walienda hadi mahakamani kulinda ubunge wa kihuni. Ninachojua ni kuwa Mdee sio mfia chama bali ni mfia cheo. Mtu wa aina yake ndio hao watatumika kutoa Siri za chama. Arudi abaki bila cheo kama alivyo Dr. Slaa.