October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
- Thread starter
-
- #21
Halima akirudi CHADEMA,na Mimi nitaanzisha harakati za kutaka Mrema wa G55 arudi CHADEMA
Atarudi ila sio kirahisi hivyo utakavyo. Na hata akirudi atakuwa wa kawaida kama Dr. Slaa.Siye twataka aludi. Cheo si tatizo walahi
😅😅Acha shobo mshindo!! CDM inakuhusu nn? Aliwe dem chumba cha jirani ukojoe wewe!!
Atarudi ila sio kirahisi hivyo utakavyo. Na hata akirudi atakuwa wa kawaida kama Dr. Slaa.
Msameheni bhana ......Hata akirudi, hastahili kupewa cheo chochote si chini ya miaka mitano.
Msameheni bhana ......
Kukosea ni udhaifu kwa kila binadamu, hakuna mkamilifu.
Mnataka kumaliza chama kumpa msaliti Mdee chama bora mayeba sio mdee msaliti ni msaliti tu Huyo team Mbowe lia lia alikua manzi ya MboweArudi haraka sana, pia mnyika kwenye nafasi ya ukatibu amepwaya, ni wakati muafaka sasa chadema iiajiri katibu mwanamke, naye si mwingine bali ni Halima Mdee!!
Hata akisamewaha ajue masula ya cheo imeshatosha, labda baada ya miaka 10 na watu kujiridhisha na tabia yake.Msameheni bhana ......
Kukosea ni udhaifu kwa kila binadamu, hakuna mkamilifu.
ahadhari tu.Hehee! Kumekucha na Makucha yake.
Halima Mdee ndani ya nyumba. Twajua afanya makosa lakini kosa moja lafutaje jasho na damu zake peke zake.
Nitapiga nakupiga kampeni. Erythrocyte tunajua ugomvi wako na Halima Mdee haujaanza juzi wala Jana. Umekwama. Na bado
Nilikupa heshima stahiki baada ya uchaguzi. Huo ulikuwa msimamo imara.Unayetaka afukuzwe hajawahi kusaliti CHAMA na ametumia nusu ya utajiri wake kusambaza Chadema
Bila shaka yoyote; haya ndiyo mambo mazito sana yanayohitaji kupimwa kwenye mizani ya yeye kufikiriwa kurudi ndani ya CHADEMA.Sikuwahi kujua kama ww kiongozi hii ndio id yako. Akina Halima kumbuka walienda hadi mahakamani kulinda ubunge wa kihuni. Ninachojua ni kuwa Mdee sio mfia chama bali ni mfia cheo. Mtu wa aina yake ndio hao watatumika kutoa Siri za chama. Arudi abaki bila cheo kama alivyo Dr. Slaa.
Tuache nongwa arejeshwe mpiganaji. Iwapo Lowassa aliwahi kurudishwa CCM na Bulaya vilevile sembuse HALIMA Mdee kutenda kosa kwa mara moja si tatizo,shida ni kurudia kosa ni...? huo ndio ubinadamu.Halima Mdee hatakiwi na alishafukuzwa Chadema. Cha ajabu hajawahi kutoka hadharani na kusema nini kilitokea. Kurejeshwa Chadema itatuvunja moyo. Halima kama anarejeshwa apewe masharti maalum na moja liwe kueleza hadharani nini kilitokea mpaka akafikiri yeye no mkubwa kuliko chama
ahadhari tu.
Kura yako ni haki yako lakini isiwe ni njia ya kupitisha hata wasiostahili.
Itabidi ujieleze kwanza; kama mimi nitakavyojieleza kukataa kata kata kwa kinyago kama Yericko kuwa sehemu ya chama hicho.
Natumaini umenielewa ninachojaribu kutahadhalisha kisiwe kama mazoea tu ndani ya chama.
Mazoea yalishatuonyesha huko CCM sifa ya "uwenzetu" ni turufu tosha kabisa ya kuwa mwanachama mwenye matumaini makubwa ndani ya chama hicho.
Hili lisiruhusiwe kuingia ndani ya CHADEMA.
Unatuhimiza tuanze na kura humu, wakati hujatueleza lolote juu ya ushawishi wako kuhusu Halima?
Uko serious, yaani mtu arejeshwe cdm kwa kuwaiga ccm? Fahamu cdm ni chama cha siasa, wakati ccm sio chama cha siasa bali dola. Cdm hawaigi upuuzi wowote wa ccm boss.Tuache nongwa arejeshwe mpiganaji. Iwapo Lowassa aliwahi kurudishwa CCM na Bulaya vilevile sembuse HALIMA Mdee kutenda kosa kwa mara moja si tatizo,shida ni kurudia kosa ni...? huo ndio ubinadamu.
Uko serious, yaani mtu arejeshwe cdm kwa kuwaiga ccm? Fahamu cdm ni chama cha siasa, wakati ccm sio chama cha siasa bali dola. Cdm hawaigi upuuzi wowote wa ccm boss.
Acha kuwashwawashwa! Aliwe mwingine ukojoe wewe!! CDM haikuhusucalm down,
tuliza mihemko nonsense na kumbwelambwela vitu useless jukwaani gentleman
Acha kuwashwawashwa! Aliwe mwingine ukojoe wewe!! CDM haikuhusucalm down,
tuliza mihemko nonsense na kumbwelambwela vitu useless jukwaani gentleman