Nikiwa mdogo niliwahi kucheza draft na Jakaya Kikwete pale Magomeni bila kujua kuwa ni Waziri wa Fedha:Viongozi kuweni wanyenyekevu

Japo ya mufindi hii ila uliyo ya nena yanasadifu haswaaa hali halisi ya JK
 
Viongozi ni wasanii sqna
 
Hongera ila hukuwai kuwa dreva bodaboda
 
Mswahili =Kahawa, Bao na majungu alafu waangalie vimewafikisha wap hata huyo unaemsema
Kweli kila mtu ana akili zake!! Kikwete amekuwa Rais wa Tanzania halafu unauliza amefika wapi? Hobbies mbali mbali kazi yake kubwa ni socialization na ndio hutufanya tuwe na furaha. Furaha inasaidia kutufanya tuishi miaka mingi.

Kwani ngoma za wasukuma zimewafikisha wapi?
 
Nimemshangaa sana,
 
Ungetazama vizuri ungegundua biashara ya ngada .....inafanyika vipi ....wenzako walikuwa awachezi draft hapo ...
 
Mkuu JK is a very humble man!
 

..ameiba mapesa ktk kashfa ya escrow.

..ameuwa wananchi ktk sakata la gesi ya Mtwara.

..ameshambulia kwa mabomu mikutano ya vyama vya upinzani.

..ameharibu mchakato wa Katiba Mpya kwa kupinga hadharani rasimu ya Tume ya Warioba.

..amepindua ushindi wa Maalim Seif ktk uchaguzi wa Znz 2015.

..JK ndiye aliyemlea Magufuli mpaka akaja kuwa Raisi katili kuliko wote Tanzania.
 
Uliyoeleza Huwa yanafanyika sana kipindi karibu na uchaguzi mkuu wa Raisi ,wabunge na madiwani Kipindi hicho kitakuwa kilikuwa karibu na uchaguzi mkuu kikikaribia ndio wanasiasa hujifanya kujishusha sana hata kucheza bao na wauza kashata mitaani na usanii mwingine mwingi mitaani
 
Kwa JK is different jamaa yuko social sana sana,
 
Kuna JK kama JK ba kuna JK Rais,hayo yote aliyatenda kana Rais,tumuangalia kwa personality yake as an individual entity
 
Jakaya na wenzake walikua wateja wazuri wa pilau mbuzi kwenye mgahawa maarufu hapo magomeni, hata Mizengo Pinda pia alikua anakwenda.
 
Kuna JK kama JK ba kuna JK Rais,hayo yote aliyatenda kana Rais,tumuangalia kwa personality yake as an individual entity

..mimi na wewe hatuna priviledge hiyo unayotaka kumpa JK.

..na ninadhani sio utaratibu mzuri kwa baadhi ya Watz, au viongozi wetu, kugeuzwa kuwa miungu'watu, au kuwa juu ya sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…