KENNY JEEZY
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 271
- 275
Kwa nyuma imeandikwa made in china mkuuMkuu hio AV System yako ni toleo la kwanza. Ukiangalia nyuma ya deki utakuta imeandikwa Made in Malaysia ambazo hizo ndio ziliuzwa worldwide.
Ambayo nmeizungumzia mimi ni zile kwa ajili ya East African market ambazo ndio wengi tunazo na ni toleo la pili ndio utakuta zina preset ya "bongo"!
Kwa wewe tunachofanana ni Preset za Sorround mkuu, napendekeza tumia "multi" ambayo itakuza sauti katika sorround speakers zote hivyo utaskia sauti vizuri.
Subwoofer ni flat haina kitofuMkuu unaeza nipa picha ya subwoofer speaker yako pia. Bila shaka itakuwa na speaker yenye kitovu na sio flat. Ila hizi 2nd generation za African Market zina flat surfaced speaker.
Mmh hio ya kwako sijaelewa imekuaje, labda ni toleo la mwanzo toka china. Una muda gani toka umeinunua?
Basi huenda ilikuwa manufactured in China. Maana najua za Malaysia ndio huwa zina preset za TV na Game
Mmh hio ya kwako sijaelewa imekuaje, labda ni toleo la mwanzo toka china. Una muda gani toka umeinunua?
Basi huenda ilikuwa manufactured in China. Maana najua za Malaysia ndio huwa zina preset za TV na Game
Nina hiyo DAV 650 na TV ni TCL 32S6550 Smart, Nimeziconnect kwa kutumia Audio Digital Cable (Optical) . Nikiplay movie yenye surround sound kwenye TV Kwa kutumia player inayokuja na TV napata surround sound kwenye home theater bila shida. Ila nikiplay video hiyo hiyo kwa kutumia App kama VLC Media player au MX Player n.k napata stereo sound tuu. Je ni app gani ya Android Smart TV inayo support surround sound 5.1sio mtumba kweli huo
Kwa hapo sina uzoefu mkuu maana sija experience Android TV bado ila kwa TCL nilionayo through Youtube inatoa 5.1 sorround sound very perfectly.Nina hiyo DAV 650 na TV ni TCL 32S6550 Smart, Nimeziconnect kwa kutumia Audio Digital Cable (Optical) . Nikiplay movie yenye surround sound kwenye TV Kwa kutumia player inayokuja na TV napata surround sound kwenye home theater bila shida. Ila nikiplay video hiyo hiyo kwa kutumia App kama VLC Media player au MX Player n.k napata stereo sound tuu. Je ni app gani ya Android Smart TV inayo support surround sound 5.1
Sent using Jamii Forums mobile app
Size inafaa kuanza kuitundika?Ushauri tu mkuu, TV ya ukubwa huo kuining'iniza ukutani ni ushamba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo app ya DivX haipo kwenye play store ya TV.Kwa hapo sina uzoefu mkuu maana sija experience Android TV bado ila kwa TCL nilionayo through Youtube inatoa 5.1 sorround sound very perfectly.
Kwa hizo apps nadhani ishu ni codecs za hizo program hazi support 5.1 sorround! Hebu jaribu ku install DivX uone itakuwaje.
View attachment 1394198
Tambo hilo BDV-N9200
Tafta JBL mkuu, budget kuanzia 7M na kuendelea.
Imagine having a sound ambayo unaeza i modify muda wowote unaeza itune utakavyo...
Kitu sipend kwenye mziki ulio complete ni kwamba kuna baadh ya vitu huezi fanya afu kumfanya mtu aridhike ni ngumu sana ...kama kwenye market naona some hi-fi zenye bufa ake system ya watts 750 LG naona ka spika za saut zina watts za kutosha but wamekubana kwenye bass kuwa na spika midrange inch 6.5 afu bass inch saba saba hata watts hasijatofautiana sana
Ila huu upande mwngine kuna mambo unaeza fanya eg kuamua kila spika icheze frequency zipi yan i base pale ..mfano hizi sub zetu za kichina unakuta au nyingi mpaka theatre kale ka sub unakuta kana system kanacheza as low as 40hz or 20hz to 250hz where milio yote mizito inasikika pale na tunajua gitaa pia linaeza piga as low as 50hz means milio pia ya gitaa itasikika kwenye spika la bass manake kuna mingurumo ya kila saa isio na tija kwenye spika la bass....milio ya gitaa haisaund vizuri sana
Ila huku pengine naeza set sub icheze dundo zito tu eg 20hz to 50hz tu where above hapo zitasikika kwenye spika za midrange ambazo zitabeba saut nene nene eg milio ya gitaa ngoma ambazo si nzito za kawaida
Ukiset hivo ukasikiliza nyimbo ya malaika band Ile umeondokaa huku nyuma hali yangu sio shwari uliniahd hatochel3wa atarudi [emoji16] nimesahau jina lake ..ila ile nyimbo jinsi ilivopigwa na kila kitu ukisikiliza kwenye mziki wa kawaida sub litakuwa linanguruma kila saa ila kwa setting hiyo unaeza kaa sekunde 50 sub imenyamaza unaeza jua waya umekatika kumbe muda huo zinapokezana midrange na full range speakers kutoa sauti za hiyo nyimbo ila inafika a point where mid haitoweza play frequency ndogo vile basi ndo hapo sub kubwa la nch 12 peak ya 1400w or 2000w linapokea linanguruma kama simba deep bass had unaisikia kwenye mishipa ya fahamu daaa asiwaambie mtu
Setting kama hiyo hakuna nyimbo utaichukia kila ukitaka futa afu usikilize hapo unaona aaa hapana acha iwepo....
Faida ingne unaeza nunua chombo kimoja kimoja pia unaeza fanya upgrade kirahisi sana leo unaeza kuja kwangu ukakuta nina nina mziki wa watts 800 kesho ukaja ukakuta nimeongeza sub moja na full range mbil tayar system imeongezeka...
Mfano complete system ya mutek iwe milion mfano huwez nunua labda spika mbil za saut na bass moja afu vingne siku ingne NO lazima ununue yote
Kingne ni kwamba kila kampuni iko fresh kwenye upande flan mfano me napenda sony component spika najua wanazo za sauti nzuri sana but kwenye bass wako nyuma sana hvo hapo ndo natafuta kampuni ingine mfano jbl,JL audio, pioneer, polks ama alpine wako njema sana
Nakadhalika
LG hana mziki wa kujaa mkuu, Sony anamkalisha mchana kweupe.
LG mziki wake mwepesi sana.