Nikiwa na 1.5-2M naweza pata sound gani kali ya nyumbani ya heshima

Mwisho utausemea mpaka ukuta. Sikujua we ni mdukuzi namna hii
Haha
Sio hivyo bana. Nilikosa cha kuchangia kwenye music system nikaona nitambae na pazia πŸ™ƒπŸ™ƒ
 
Hahah ntamshushia makala soon, amegusa uwanja wangu wa nyumbani kabisa yani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa nakula "Associe" ya Fally Ipupa inaingia mpaka ku moyo kupitia kinu murua cha SONY.
View attachment 1394168
.............Pic kwangu imekataa kufunguka mkuu nilitaka niione hii material.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Sasa mkuu hiyo Fidek nyumba si ataigeuza club???

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nimekasirika sana na haya ma radio ya mchina, nataka sound ya nzuri ya kijanja yenye kutoka mziki halisi kuanzia vyombo mpaka mkitobwa haja sio wa pwaaa pwaa pwaa

Naombeni mawazo yenu tafadhali ikiwezekana na location..
Mkuu unajua keyboard yako inahifadhi maneno unayotumia ili badae ikupe suggestion au wakati mwingine inafanyika auto correct
 
mavitu kibaooooo, sasa mavitu yote hayo yakikaa geto si kutakuwa kama gereji? au dukani kwa fundi redio wa mtaani, mshauri kwa bajeti yake atafute h/theatre yenye option zote kuanzia radio mpaka Bluetooth na watts angalau 1000 afurahie maisha, sio akitaka kusikiliza redio lazima awe na testa za kufungulia waya ili abadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa nilikuwa siwajui ila nmeona leo, wako na ukali wa kila aina kina Polk audio, Denon na Klispch...all high end stuff ila bei zake wataziweza wakazi wa kanda ya Oysterbay na Masaki labda hamna hamna wa Mbezi Beach kidogo watafurukuta.

Kwa budget ya mtoa mada anaweza pata mziki wa maana tu, mimi nilipata sound bar ya Polk audio kwa 1.7 ambayo mziki wake hizi home theater za Sony zinasubiri
 

Kwa hiyo mziki huo niliokutajia unataka fananisha na hometheatre??😁😁 We hauko sawa ..... hometheatre zina mziki wa kawaida sana sasa hizo mnazoita za watts 1000 ni swala la market tu ...unajua hizo watts zilivopatikana ?? Mziki wa watts 1000 true rms ushawah usikia? ...hizo zilizoandikwa zinatoa 167w per channel akili yako kale ka sub kanabeba hizo watts?? Je zile za pembeni zinabeba hizo watts ?? Ulishawah fungua ukakuta umewekewa spika za watts ngapπŸ˜‚πŸ˜‚ acha kudanganywa na manufacturer wao wanapiga hela we kaa ukisema watts 1000 huku distortion ni more than 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…