mavitu kibaooooo, sasa mavitu yote hayo yakikaa geto si kutakuwa kama gereji? au dukani kwa fundi redio wa mtaani, mshauri kwa bajeti yake atafute h/theatre yenye option zote kuanzia radio mpaka Bluetooth na watts angalau 1000 afurahie maisha, sio akitaka kusikiliza redio lazima awe na testa za kufungulia waya ili abadili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibongo bongo Sony hana mpinzani ila Nairobi kuna Brand kama Harman Kardon, Bose, Bang & Olufsen, Onkyo na nyingine nyingi zote mpya! mfuko wako tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hallo Extrovet mi nimependa ile meza yenye drawer pale chini nadhani zipo ambazo ni pana zaidi niweke vitu vingiHahah ntamshushia makala soon, amegusa uwanja wangu wa nyumbani kabisa yani.🤣🤣🤣
Hapa nakula "Associe" ya Fally Ipupa inaingia mpaka ku moyo kupitia kinu murua cha SONY.
View attachment 1394168
Mtwango wa nguvu wa nyumbani usipungue watts 2000 uwe sony, bose,panasoni n.k ukizidi sana itakuwa kero pia kwa hela hiyo anapata mo ningechukua wa watts 2200Nimekasirika sana na haya ma radio ya mchina, nataka sound ya nzuri ya kijanja yenye kutoka mziki halisi kuanzia vyombo mpaka mkitobwa haja sio wa pwaaa pwaa pwaa
Naombeni mawazo yenu tafadhali ikiwezekana na location..
[emoji16][emoji16] kwa nn umesema hivyo mkuu....sio marketing nautumia huo mtwango kwa sasa...najua nisemacho...au unataka utamaso?hahahha, watu wa marketing bhana, nimewanyooshea mikono asee
Hio ni ya ku Extend piaHallo Extrovet mi nimependa ile meza yenye drawer pale chini nadhani zipo ambazo ni pana zaidi niweke vitu vingi
Dah...mie hapo kwenye watts ndiyo huwa pananichanganya sana...kwanini wasiwe wanafanya rating ya vyombo vyenye mifumo ya sauti kwa dB au ohms tu?Dundo la Onkyo, hilo weka mbali na watoto braza. Mi siongei sana ila wanaojua sound watakuelekeza zaidi.
Hii radio ninayo mkuu ila mbona haitoi sound kali mkuu... Au nakosea nin.Hahah ntamshushia makala soon, amegusa uwanja wangu wa nyumbani kabisa yani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa nakula "Associe" ya Fally Ipupa inaingia mpaka ku moyo kupitia kinu murua cha SONY.
View attachment 1394168
Aha kwa hiyo nielekeze zilipo tafadhali nina Sony Kama hiyo na TCL nataka nipangilie mtwango.Hio ni ya ku Extend pia
Mkuu samahani nikitaka kubadili nikupe Sony DAV-DZ650 halafu niongeze pesa nichukue hii unakubali samahani sanaLete hiyo 2m yko nikupe hiyoView attachment 1394918View attachment 1394920View attachment 1394921
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah hujajua ku tweak na settings zake mkuu.Hii radio ninayo mkuu ila mbona haitoi sound kali mkuu... Au nakosea nin.
Elimu kidgo!?
Sent using Jamii Forums mobile app
decibels sindio watatuchanganya mazima.Dah...mie hapo kwenye watts ndiyo huwa pananichanganya sana...kwanini wasiwe wanafanya rating ya vyombo vyenye mifumo ya sauti kwa dB au ohms tu?
Sent using Beretta ARX 160
Hio mi nilichukulia Nairobi mkuu. Kitambo sana. Ila kwa mjini hapo huwezi kosa kuna page niliona wanaiuza laki 5Aha kwa hiyo nielekeze zilipo tafadhali nina Sony Kama hiyo na TCL nataka nipangilie mtwango.
Halafu remote hizi utakuta unazo nne unaanza kufokea akina dogo walikoweka wakati kama ni kuwa na mpangilio kama huo kila kitu kinakuwa shwari
Hizo Watts ni za kupima ukubwa wa mziki mkuu. Umeme inatumia kawaida sana.Duuuh kwahiyo KiloWatt Moja kwa Lisaa, hiyo mashine utakiwi kuweka Luku ya kuunga unga
Mtwango wa nguvu wa nyumbani usipungue watts 2000 uwe sony, bose,panasoni n.k ukizidi sana itakuwa kero pia kwa hela hiyo anapata mo ningechukua wa watts 2200
Team Panasonic hapa
SC-max5000 GS
Wat 2400 niko nayo home. Chuma inatwanga balaa ,,karibu team Panasonic. Picha zimegoma ku-upload.
Sent using Jamii Forums mobile app
@Aleyn katika ubora wako[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu mimi nadhani tafuta music system nzuri ya Sony. Hawa jamaa ktk music wa namna hii ni wazuri na inadumu. Ila tafuta hata ya laki 8-9
Kwa Sony hiyo music system ni uhakika. Ila kama wataka mziki hata wa Party hapo nunua fidek mayai moja ile ya doubke, kisha na powered mixer, hapo na mic za UHF utapata.
Mziki wa fidek ni hatari, au nunua zile single mbili, moja weka upande huu na nyingine upande huu, hapo majirani lazima wakutafute wajue mziki unaotumia.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]