version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,087
- 2,517
Hebu tupe elimu basi kwanini ni nyota na kwanini wazungu wanadanganya ni sayari na kwa manufaa yapi?Au unasubiria mpaka NASA wakuambie ni nyota ndo utaamini endelea kusubiria
Hebu tupe elimu basi kwanini ni nyota na kwanini wazungu wanadanganya ni sayari na kwa manufaa yapi?Au unasubiria mpaka NASA wakuambie ni nyota ndo utaamini endelea kusubiria
Kuna mtu alikuwa huru kufikiria akaf8kiria kuwa anaweza kujirusha kutika ghorofa la juu sana akiangaliia kwenye Simtank lililojaa maji hatadhurika.Hauko huru kifikra na sio wewe tu bali ni tatizo la wafrika wengi
wewe endelea kusubiria NASA au wazungu wanachosema na wewe uunge tela
Umemaririshwa naumekaririKuna mtu alikuwa huru kufikiria akaf8kiria kuwa anaweza kujirusha kutika ghorofa la juu sana akiangaliia kwenye Simtank lililojaa maji hatadhurika.
Akaruka na kuumia vibaya mpaka kufa.
Suala si kuwa huru kufikiria, suala ni, je unachofikiria kwa uhuru ni sahihi?
Wewe unajua hata Black Hole ni nini?
Unajua energy level inayohitajika kuufanya hata muale wa mwanga ushindwe kutoka katika black hole na kuifanya hiyo black hole iwe black hole?
Unajua hesabu za singularity of the black hoke zinavyo tend to infinity?
Una uwezo wa ku reconcile Einstein's Relativity na Quantum Physics kuoata Quantum Gravity model ya kui tame hiyo singularity ya Black Hoke?
Sasa unaniambia nimekaririshwa na kukariri, na wewe hilo Black Hole umeligundua wewe?Umemaririshwa naumekariri
Bado kunahitajika ubunifu mkubwa sana wa space exploration tuna appreciate walichofanya ni kidogo sana
Zinahitajika fikra mpya na uvumbuzi kumbuka uvumbuzi unaanzia na fikra
Ama ni Deogratias Kisandu version II au jamaa ni mchekeshaji (comedian) tu. Kwa vyo vyote vile hatupaswi kumchukulia siriazi! 😕Mkuu,
Sasa unataka nijadili hoja yako ya ku activate Black Hokes kwa kutumia akili kweli?