Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ni mwaka juzi hii mkuu...
Ina maana alifungwa tena miaka 7 mingine? Labda yuko gerezani hajafa. Tuombe angalau iwe hivyo🙏🏿
Ni mwaka juzi hii mkuu...
Kwa hiyo bado yuko ndani, naona alipigwa mvua 7Ni mwaka juzi hii mkuu...
Kilq mmoja wetu ana struggle na Mental Health sema wengine wanahitaji msaada.Huo msaada uchukue wewe
Deo alitakiwa apelekwe Hospitali na sio Gerezani.
Ngoja siku nikipita pale Kahama Gerezani nikamuone nimpelekee Sabuni.Ni mwaka juzi hii mkuu...
Ina maana alifungwa tena miaka 7 mingine? Labda yuko gerezani hajafa. Tuombe angalau iwe hivyo🙏🏿
Chali angu we ni noma.. yaani hata NASA hawafahamu blackhole ni nini ila wewe wa Kishumundu umeamua kututonya. Cha muhimu jomba hakikisha kwanza unaweza kumudu gharama za milo mitatu kwa siku kabla ya kushughulika na mambo yasiyo na ulazima hata kwa maisha yako binafsi. Unapoteza muda.Moja ya mambo ambayo ntafanya ni kuactivate nyota ambazo hazipo active ambazo kitaalamu zinaitwa blackholes
View attachment 3324242
Hao NASA ndo wakuzuie wewe usifikiri kamwe mimi sipotezi mda hichi nalichokisema kutafanyiwa kazi hata mimi nikiwa sipo dunianiChali angu we ni noma.. yaani hata NASA hawafahamu blackhole ni nini ila wewe wa Kishumundu umeamua kututonya. Cha muhimu jomba hakikisha kwanza unaweza kumudu gharama za milo mitatu kwa siku kabla ya kushughulika na mambo yasiyo na ulazima hata kwa maisha yako binafsi. Unapoteza muda.
Spacegirl wao alitiwa mimba kabla ya safari.. 😀
Ndo akili zako zilipoishiaMganga anasafisha nyota. Hamuelewi wapi?😂😂😂
Mkuu,Ndo akili zako zilipoishia
Mkuu,
Sasa unataka nijadili hoja yako ya ku activate Black Hokes kwa kutumia akili kweli?
Hauko huru kifikra na sio wewe tu bali ni tatizo la wafrika wengiMkuu,
Sasa unataka nijadili hoja yako ya ku activate Black Hokes kwa kutumia akili kweli?
Hiyo ni mojawapo kati ya ahadi nyingiHuwezi kuwa Rais ikiwa ndoto yako ni ku deal na blackholes, watu wanahitaji kukombolewa na ujinga maradhi na umasikini wewe unakuja na hoja za blackholes???
Hata raia wa nchi kama America hawawezi kuwa interested na idea kama hii.
Hizi ni idea ambazo zinakuwa pursued na private companies kama kina Elon Musk wanavyofanya na ikitokea ikawa successful basi ndo serikali wanatoa support fulani ndogo ila hawawezi kugharamia project kama hii mwanzo mwisho
Kikubwa tumpe sapoti 😂😂😂
Kwa hiyo mambo mengine umemaliza hadi uhamie kwenye mashimo meusi?Moja ya mambo ambayo ntafanya ni kuactivate nyota ambazo hazipo active ambazo kitaalamu zinaitwa blackholes
View attachment 3324242
Jupiter na Saturn ni nyota🚮..nimeishia hapoMoja ya mambo ambayo ntafanya ni kuactivate nyota ambazo hazipo active ambazo kitaalamu zinaitwa blackholes
View attachment 3324242
Au unasubiria mpaka NASA wakuambie ni nyota ndo utaamini endelea kusubiriaJupiter na Saturn ni nyota🚮..nimeishia hapo
sasa kama hata wamerekan hawezi kukuelezea blackhole ni nini halafu wewe umewez tena kirahisi hiviiii...........basi mwisho wa dunia ndio sasa😨Moja ya mambo ambayo ntafanya ni kuactivate nyota ambazo hazipo active ambazo kitaalamu zinaitwa blackholes
View attachment 3324242
Bangi unayovuta iheshimiweJupiter na Saturn composition yake ni Hydrogen na Helium sawa na jua
Wazungu wamewadanganya kwamba Jupiter na Saturn ni sayari zile sio sayari bali nyota