Tofautisha Shit hole na Black hole 😁black hole ni shimo la kinyeooo, ktobo cha kutoa hydrogen na gesi tumboni
aisee dah kumbe unge'nge' taabu hiviiTofautisha Shit hole na Black hole 😁
Utekelezaji wa jambo lako ni mpaka usubiri uwe Rais wa nchi vina uhusiano gani? Hebu tueleweshe hapo.Hatakama nisipokamilisha huu mradi ntatengeneza mazingira vizazi vijavyo waweze kukamilisha
Hutaelewa kwa sahiviUtekelezaji wa jambo lako ni mpaka usubiri uwe Rais wa nchi vina uhusiano gani? Hebu tueleweshe hapo.
Uko sahihi mkuu. Red giant wakati kasayari ketu sijui katakuwa wapi. Tuombe huyu jamaa mwanzisha uzi awe ameshakamilisha ugunduzi wake. Pengine ataweza kuliokoa jua letu na kufanya uhai uendelee katika sayari yetu 😂jua letu ni dogo mno likifa litakua tu red giant halina uwezo wa ku go supernova litakua red giant mpaka nguvu zake zikiisha kabisa litakua dead star tu halina hata mass ya kulifanya liwe blackhole
Hakuna sehemu nimesema kwamba jua liondolewe achana na uzindaki jikite kwenye madaUko sahihi mkuu. Red giant wakati kasayari ketu sijui katakuwa wapi. Tuombe huyu jamaa mwanzisha uzi awe ameshakamilisha ugunduzi wake. Pengine ataweza kuliokoa jua letu na kufanya uhai uendelee katika sayari yetu 😂
kisandu alianzaga hivi tukachukulia poa kumbe mwenzetu kishakua mwehu 😁😁Uko sahihi mkuu. Red giant wakati kasayari ketu sijui katakuwa wapi. Tuombe huyu jamaa mwanzisha uzi awe ameshakamilisha ugunduzi wake. Pengine ataweza kuliokoa jua letu na kufanya uhai uendelee katika sayari yetu 😂
Hakuna sehemu nimesema kwamba jua liondolewe achana na uzindaki jikite kwenye madaUko sahihi mkuu. Red giant wakati kasayari ketu sijui katakuwa wapi. Tuombe huyu jamaa mwanzisha uzi awe ameshakamilisha ugunduzi wake. Pengine ataweza kuliokoa jua letu na kufanya uhai uendelee katika sayari yetu 😂
Waafrika wako negative sana baada ya hii comment unajiona mjanjakisandu alianzaga hivi tukachukulia poa kumbe mwenzetu kishakua mwehu 😁😁
Usiwe mwoga wa maisha kila mtu ana-ambitious zakeWachina wanatengeneza jua lao muda huu, utakapokuwa rais wa ma-juha wa nchi hii wachina watakuwa wanauza ma-jua bandia. Utaagiza moja kwa ajili ya kukaushia tumbaku au samaki?
Halafu inasemekana eti mwamba alishakata moto. Alikuwa anahitaji msaada wa kitiba aisee hasa baada ya kutoka kifungoni gerezani Butimba; akaamua kuacha kazi na kuwa mwanamuziki ili apate hela za kwenda kumuoa Maria wa Obama. Ingekuwa afadhali naye kama angejikita katika kufufua black holes. Labda angekuwepo. Sad!kisandu alianzaga hivi tukachukulia poa kumbe mwenzetu kishakua mwehu 😁😁
Nimeona ambitions zako nafikiri utafute daktari wa akili na psychology akufanyie uchunguzi na tiba.Usiwe mwoga wa maisha kila mtu ana-ambitious zake
😆😆😆😂 mbavu zangu.Halafu inasemekana eti mwamba alishakata moto. Alikuwa anahitaji msaada wa kitiba aisee hasa baada ya kutoka kifungoni gerezani Butimba; akaamua kuacha kazi na kuwa mwanamuziki ili apate hela za kwenda kumuoa Maria wa Obama. Ingekuwa afadhali naye kama angejikita katika kufufua black holes. Labda angekuwepo. Sad!
mkuu umechimba sana🙏Kumbe Jupiter na Saturn ni nyota? Na zinazalisha mwanga wake kama lilivyo jua letu? 😳
Black holes zinatokana na nyota zilizoishiwa Helium na Hydrogen na hivyo kusinyaa (collapse) ndani kwa ndani. Hizi ni kwa zile ambazo nguvu inayovuta ndani huishinda nguvu inayosukuma kwa nje. Nguvu inayosukuma kwa nje ikiishinda nguvu inayovuta kwa ndani nyota hizi zinazokaribia mwisho wa uhai wake huweza kuripuka kama supanova. Hili limeshathibitishwa na telescopes za Hubble na James Webb. Na huu ndiyo utakuwa mwisho wa nyota yetu (jua) baada ya miaka bilioni kama 4 hivi ijayo - ama itaripuka kama supanova au itasinyaa mumo kwa mumo na kuwa blackhole japo pia kuna scenarios zingine (mf. Red giant ~ dead star).
Sasa wewe unaposema kuwa utazifufua nyota ambazo zimeshakufa na kuwa black holes, utatoa wapi matrilioni na matrilioni ya tani za Helium na Hydrogen? Na utawezaje kuingia na kutoka katika black holes ambako tunaambiwa nguvu za uvutano ni kubwa mno kiasi kwamba hakuna kinachoweza kutoka kikiingia isipokuwa tu labda mabaki kidogo ya nguvu za mnunurisho wa mwanga (Hawking Radiation)?
Na utafikaje kwenye hiyo black hole wakati black hole iliyo karibu kwetu inaaminika ni ile iliyo katikati ya Galaxy yetu ya Milky Way na kufika huko sijui ni miaka milioni ngapi ya mwanga (light years).
Akina Profesa Michio Kaku wanasema kwamba kwa vile kwenye black holes hakuna muda, siku moja wanasayansi wangeweza kupata njia ya kuweza kwenda kuishi humo ndani basi wangeweza kuishi milele. Na hata kuna dhana kwamba huenda mbinguni ni ndani ya black hole ndiyo maana kuna kuishi milele na milele huko (yaani hakuna muda!)
Wanasayansi wenyewe wanakiri kwamba hawajui hasa kinachoendelea katika black holes maana kanuni za kawaida za Fizikia huko hazifanyi kazi; hata muda haupo. Kwenye black holes ni sawa na kilichokuwepo kabla ya Big Bang - wanasayansi hawajui na Fizikia ya sasa haiwezi kutupa majibu. Labda wewe ndiyo utakuwa mtu wa kwanza kutueleza kwa kinagaubaga kilichokuwa kinaendelea kabla ya Big Bang na kinachoendelea katika black holes. Na nakuhakikishia. Utakuwa maarufu kuliko hata Albert Einstein na Stephen Hawking maana utaleta mvuvumko mpya katika Fizikia na pengine hata kuweka mazingira rafiki ambapo nadharia za Relativity na Quantum Mechanics zinaweza kuunganishwa na au kuwa compatible (jambo ambalo Albert Einstein mwenyewe alitumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yake bila mafanikio)
Na bila shaka unajua lugha inayotumika - ni mafomyula na makalikyulesheni. Siyo tu blah blah za mtu aliyeshiba makande na kuanza kupayuka. Weka makalikyulesheni yako yanayoonyesha jinsi utakavyosafiri mpaka kufika huko kwenye black hole ya karibu, mahali utakakopata gazilioni na gazilioni za tani za Helium na Hydrogen, jinsi utakavyoziwasha hizo nyota tena ili zianze kusaga hiyo Hydrogen (wakati huo wewe sijui utakuwa umesimama wapi!) na mengineyo mengi.
Serikali ilimuonea sana Kisandu. Ilimfunga mtu mgonjwa wa akili. Pia ilipaswa kumpa stahiki zake kama mtu anayeacha kazi kwa kuugua. Justice for Kisandu.Halafu inasemekana eti mwamba alishakata moto. Alikuwa anahitaji msaada wa kitiba aisee hasa baada ya kutoka kifungoni gerezani Butimba; akaamua kuacha kazi na kuwa mwanamuziki ili apate hela za kwenda kumuoa Maria wa Obama. Ingekuwa afadhali naye kama angejikita katika kufufua black holes. Labda angekuwepo. Sad!