Nikiwa Rais ntaanzaisha mradi wa kuactivate nyota ambazo haziko active (blackholes)

Nikiwa Rais ntaanzaisha mradi wa kuactivate nyota ambazo haziko active (blackholes)

One who was more gorgeously attired than the others paced around with his hands clasped behind his back. Frequently he would stop his pacing and peer over another person's shoulder while he looked at some written notes, or studied the wriggling lines which were manifested behind circles of glass. Then, with a nod, he would resume his pacing. At last I chanced to do likewise. I glanced at a screen as the Gorgeous One did. Here were flaming worlds, how many I could not count because the light dazzled me and the unaccustomed motion bewildered me. So far as I could guess, and guess alone, it was, there were about fifteen flaming gobbets encircling the great central mass which had given them birth.

The tube-building, which I now knew to be a spaceship, stopped, and much activity took place. Then from the bottom of the ship there appeared a great number of small ships circular in shape. They scattered hither and thither, and with their departure life aboard the great vessel resumed the even tenor of a wellordered existence. Time passed, and eventually all the small discs returned to their parent ship and were taken aboard. Slowly the massive tube turned and sped like an affrighted animal through the reeling heavens.

In the fullness of time, how long I could not say as all the travel was speeded up, the metal tube returned to its base. Men and women left it and entered buildings on the perimeter. Before me the screen went grey.
 
Na sio nyota zote zikifa zinazaa black hole inategemea na mass ya nyota.
 
No Election No Election sasa inaelekea kanda ya Ziwa na Serengeti.
 
Kumbe Jupiter na Sarurn ni nyota? Na zinazalisha mwanga wake kama lilivyo jua letu? 😳

Black holes zinatokana na nyota zilizoishiwa Helium na Hydrogen na hivyo kusinyaa (collapse) ndani kwa ndani. Hizi ni kwa zile ambazo nguvu inayovuta ndani huishinda nguvu inayosukuma kwa nje. Nguvu inayosukuma kwa nje ikiishinda nguvu inayovuta kwa ndani nyota hizi zinazokaribia mwisho wa uhai wake huweza kuripuka kama supanova. Hili limeshathibitishwa na telescopes za Hubble na James Webb. Na huu ndiyo utakuwa mwisho wa nyota yetu (jua) baada ya miaka bilioni kama 4 hivi ijayo - ama itaripuka kama supanova au itasinyaa mumo kwa mumo na kuwa blackhole japo pia kuna scenarios zingine.

Sasa wewe unaposema kuwa utazifufua nyota ambazo zimeshakufa na kuwa black holes, utatoa wapi matrilioni na matrilioni ya tani za Helium na Hydrogen? Na utawezaje kuingia na kutoka katika black holes ambako tunaambiwa nguvu za uvutano ni kubwa mno kiasi kwamba hakuna kinachoweza kutoka kikiingia isipokuwa tu labda mabaki kidogo ya nguvu za mnunurisho wa mwanga (Hawking Radiation)?

Na utafikaje kwenye hiyo black hole wakati black hole iliyo karibu kwetu inaaminika ni ile iliyo katikati ya Galaxy yetu ya Milky Way na kufika huko sijui ni miaka milioni ngapi ya mwanga (light years).

Akina Profesa Michio Kaku wanasema kwamba kwa vile kwenye black holes hakuna muda, siku moja wanasayansi wangeweza kupata njia ya kuweza kwenda kuishi humo ndani basi wangeweza kuishi milele. Na hata kuna dhana kwamba huenda mbinguni ni ndani ya black hole ndiyo maana kuna kuishi milele na milele huko (yaani hakuna muda!)

Wanasayansi wenyewe wanakiri kwamba hawajui hasa kinachoendelea katika black holes maana kanuni za kawaida za Fizikia huko hazifanyi kazi; hata muda haupo. Kwenye black holes ni sawa na kilichokuwepo kabla ya Big Bang - wanasayansi hawajui na Fizikia ya sasa haiwezi kutupa majibu. Labda wewe ndiyo utakuwa mtu wa kwanza kutueleza kwa kinagaubaga kilichokuwa kinaendelea kabla ya Big Bang na kinachoendelea katika black holes. Na nakuhakikishia. Utakuwa maarufu kuliko hata Albert Einstein na Stephen Hawking maana utaleta mvuvumko mpya katika Fizikia na pengine hata kuweka mazingira rafiki ambapo nadharia za Relativity na Quantum Mechanics zinaweza kuunganishwa na au kuwa compatible (jambo ambalo Albert Einstein mwenyewe alitumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yake bila mafanikio)

Na bila shaka unajua lugha inayotumika - ni mafomyula na makalikyulesheni. Siyo tu blah blah za mtu aliyeshiba makande na kuanza kupayuka. Weka makalikyulesheni yako yanayoonyesha jinsi utakavyosafiri mpaka kufika huko kwenye black hole ya karibu, mahali utakakopata gazilioni na gazilioni za tani za Helium na Hydrogen, jinsi utakavyoziwasha hizo nyota tena ili zianze kusaga hiyo Hydrogen (wakati huo wewe sijui utakuwa umesimama wapi!) na mengineyo mengi.
jua letu ni dogo mno likifa litakua tu red giant halina uwezo wa ku go supernova litakua red giant mpaka nguvu zake zikiisha kabisa litakua dead star tu halina hata mass ya kulifanya liwe blackhole
 
jua letu ni dogo mno likifa litakua tu red giant halina uwezo wa ku go supernova litakua red giant mpaka nguvu zake zikiisha kabisa litakua dead star tu halina hata mass ya kulifanya liwe blackhole
Jua lina Blackholes nyuma yake ambapo hydrogen na Helium inazalishwa na kuwa burnout na kutoa energy

Blackholes yako ya size tofauti tofauti mengine makubwa na mengine madogo
 
Jua lina Blackholes nyuma yake ambapo hydrogen na Helium inazalishwa na kuwa burnout na kutoa energy

Blackholes yako ya size tofauti tofauti mengine makubwa na mengine madogo
mpaka nimegundua hata blackhole hujui ni nini, yaan blackhole iwe nyuma ya jua na isilimeze hilo jua blackhole inameza chochote kilichokaribu yake bila kujali size unatakiwe ujue hayo makitu ni infinities unless unachanganya asshole na blackhole
 
mpaka nimegundua hata blackhole hujui ni nini, yaan blackhole iwe nyuma ya jua na isilimeze hilo jua blackhole inameza chochote kilichokaribu yake bila kujali size unatakiwe ujue hayo makitu ni infinities unless unachanganya asshole na blackhole
Kila mtu anauhuru wa kufikiri wewe endelea kuamini unavyoamini kwani umekatazwa alafu unaonekana ni bingwa wa kuporomosha matusi

Unatamani sana na mimi nianze kuporomosha matusi kama wewe mimi sijui kutukana na hakunaga tuzo ya matusi au kutukana
 
Back
Top Bottom