Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
worse than useless😡
Na wewe umemkosoa vizuri kabisa mtoa mada lakini bado huutaki Unaibu waziri mkuu.Ww umeelezea vizur na kueleweka zaid ya mleta mada..
Na bado hauutak Uraisi.
Dah mwenzetu yeye ana amini kuna kitufe cha Ku activate black holes😆😆😆Kuna namna ya kuactivate blackholes izalishe hydrogen na Helium sio kweli kwamba zimeishiwa
Magufuli tu alitutosha hatutaki raisi chizi mwingine.Tunabidi tumpatie urais
Hata ukiniita chizi hainipunguzii kituMagufuli tu alitutosha hatutaki raisi chizi mwingine.
Lazima na sisi waafrika tuanze kufikiria mambo makubwaHayo mambo yako juu ya uwezo wa waTanzania wengi, wengi wao wanawaza simba+yanga, mikopo ya wanafunzi, ajira za ualimu, madaraja na mifumuko ya bei, wao masuala ya technology hawayataki, na kwanza utaulizwa ndicho wamekutuma ikulu?.
Nenda kagombee uraisi wa utafiti kwa akina Elon, nchini bado sana tunapambana na matundu ya vyoo mashuleni, goli la mama na chawa wa ccm
Mwafrika anaamini kila jambo hawezi kwa hiyo siwezi kukushangaaDah mwenzetu yeye ana amini kuna kitufe cha Ku activate black holes😆😆😆
Hungera kwa kushirikiunamtindio sio bure
Nimemshauri aende kutafuta msaada.unamtindio sio bure
Mkuu uraisi nautaka sema tu sijui jinsi ya kuupata 😂Ww umeelezea vizur na kueleweka zaid ya mleta mada..
Na bado hauutak Uraisi.
Huo msaada uchukue weweNimemshauri aende kutafuta msaada.
The name is Deo Kisandu 😂Kuna jamaa mmoja mwenye mawazo kama yako alipata tokea humu (nimemsahau jina ila alikuwa mwalimu), sijui alipotelea wapi…Ila olo ini olo wakikuwahi unapona mkuu
RIP 🙏🏿🙏🏿🙏🏿The name is Deo Kisandu 😂
Kuna uzi uliletwa humu japo baadaye ulifutwa. Eti alipotoka Gerezani Butimba aliacha kazi na kujitosa 100% kwenye muziki ili apate umaarufu na pesa hatimaye aende US akamuoe Maria wa Obama; ndipo ikawa full blown mental case. Eti alifia huko Kahama 😭Really? Jamaa ashafariki?
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Kuna stori humu juzijuzi alikamatwa kwa kumpiga mama yake......Kuna uzi uliletwa humu japo baadaye ulifutwa. Eti alipotoka Gerezani Butimba aliacha kazi na kujitosa 100% kwenye muziki ili apate umaarufu na pesa hatimaye aende US akamuoe Maria wa Obama; ndipo ikawa full blown mental case. Eti alifia huko Kahama 😭
Yule jamaa alikuwa mgonjwa wa akili na badala ya kwenda jela alipaswa kupelekwa Mirembe. Basi tu mifumo yetu haina huruma!