Nikiwa Rais ntaanzaisha mradi wa kuactivate nyota ambazo haziko active (blackholes)

Pole kwa kushikwa akili na wazungu tofauti yangu niko huru kufikiri na siwezi shikwa akili na mzungu
Mkuu ni vizuri kuwa una uhuru wa kufikiri lakini usidhani kuwa kila unachofikiri kitakuwa kweli, pia tunahitaji maelezo zaidi ya kuthibitisha kwa nini unahisi jupiter ni nyota na sio sayari, pia utuelezea mechanism ya blackhole na nyota
 
Achana na Blackholes mkuu Huyoo hio Project anayotaka kufanya Inaeza kula uchumi wa Nchii hii na ya Kenya na Bado haijakamilika
 
Back
Top Bottom