Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vitakuwa na mapaa, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni
Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama tukiwekeza sababu culture ya kupenda mpira ipo Tanzania
Viwanja ambavyo vitaboreshwa ni kama vifuatavyo
Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama tukiwekeza sababu culture ya kupenda mpira ipo Tanzania
Viwanja ambavyo vitaboreshwa ni kama vifuatavyo
- Kiwanja cha sokoine mbeya
- Kiwanja cha jamhuri morogoro
- Kiwanja cha ccm kirumba mwanza
- Kiwanja sheikh amri abeid arusha
- Kiwanja cha mkwakwani
- Kiwanja ally hassan mwinyi tabora
- Kiwanja cha dodoma
- Kila mkoa utajengwa uwanja wa kati ya watu elfu 15 mpaka elfu 20 kama hauna vile viwanja vya zamani
- Kutajengwa viwanja vikubwa vya kimkakati vya watu elfu 60 na kuendelea