almuxxa inacaxxan xusein
Member
- Dec 12, 2020
- 6
- 5
ni mawazo mazur kila mtu na muono wake !!!
Unapendeza kuwa waziri mkuu kwenye serikali ya Rais Robert Dennis
54482928bro utapata value kubwa kabisa, wahi viti virefu na share Lipa numba.
Kwanza leo kuna mechi ya Yanga vs JKT saa 10 jion.
Weekend ni kuenjoy na kupumzika.
Maisha yenyewe haya ni mafup sana na hayana Formula. So Enjoy while you can...
Ndio inayokuotesha ndoto za mchana hyo kumbe
Kwangu mimi haya ni moja ya mambo yanayonishangaza Tanzania,km ccm kirumba,Amri Abeid hivi wangetoa tu nyasi za uwanja nakupanda upya tena nahizi mvua huna haja ya umwagiliaji mpira unachezwa vizuri tu,wakurugenzi wa miji sijajua kwanini haipo kwenye mipango yao vitu km hivi,tumieni hata magereza kiwasaidia km hamna hela zakutoshaViwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni
Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama tukiwekeza sababu culture ya kupenda mpira ipo Tanzania
Viwanja ambavyo vitaboreshwa ni kama vifuatavyo
- Kiwanja cha sokoine mbeya
- Kiwanja cha jamhuri morogoro
- Kiwanja cha ccm kirumba mwanza
- Kiwanja sheikh amri abeid arusha
- Kila mkoa utajengwa uwanja wa kati ya watu elfu 15 mpaka elfu 20
- Kutajengwa viwanja vikubwa vya kimkakati vya watu elfu 60 na kuendelea
View attachment 3338054
Sio tatizo lako ni ufinyu wa fikra zakoSitaki kuku Challange lakini Huna akili kabisa n Hufai kuwa Rais.
Hujakutana na Mimi nikiwa nimetulia, Hatuhitaji Viongozi vichaa Tanganyika.
UTAKUWA RAIS LINI
Uwanja wa world Class kuchukua Mashabiki elfu 20 kweli????????
WEWE SIO MZIMA
Kuboresha viwanja ndo ndoto ya mchanaNdio inayokuotesha ndoto za mchana hyo kumbe
Duniani hakuna jambo zuri jepesi na kwa fikra kama hizi za kiafrika ni ngumu sana kutoka hapamambo hayapo mepesi kama hivyo unavyodhani kijana.
Anzisha bendi ya taarabu
Michezo ni ajira na una Multiplier effects kubwa sanaKwahiyo wananchi waendelee kuteseka na maisha duni kisa raisi unajenga viwanja?
Kwamba tutakula mamipira yenu.
Utakuwa raisi wa hovyo sana.
Hakika hatonisahauUnapendeza kuwa waziri mkuu kwenye serikali ya Rais Robert Dennis
Kwanini unanichukia mkuuAnzisha bendi ya taarabu
Umeandika kimasimini unataka soma likulipe vipi kama huna miundombinu wezeshiUkiachilia mbali video kutokufanana na ulichoandika pia sisi kama Taifa na uhalisia wake hatuna uhitaji wa viwanja vipya kila mkoa. Marekebisho katika viwanja vilivyojengwa zamani na kupewa jina la chama yanatosha kabisa kukidhi haja ya matumizi ya soka letu.
Hivyo vichache vya kimkakati inabidi vijumuishwe na hivi vilivyojengwa sasa. Inawezekana wakati ukiwa raisi tusiwe na uhitaji wa viwanja vipya. Bado soka halitulipi kabisa. Na pia bado hakuna njia zinazotengenezwa ili soka litulipe.
Worls class ya kooonyoSio tatizo lako ni ufinyu wa fikra zako
Ulivyokuwa na akili ndogo unadhani kiwanja kuwa world-class lazima kiwe na mashabiki wengi hizi akili hizi
Hiyo umesema wewè lakin vipoWorls class ya kooonyo
Hakuna uwanja world class unachukua mashabiki Buku SH3NZI.