CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Wapi?????Hiyo umesema wewè lakin vipo
Kuna chizi mmoja alikuja kama
Wewe alikuwa anajiita Deo kisandu
Wapi?????Hiyo umesema wewè lakin vipo
Kamwe huwezi ntisha na dhihaka zakoWapi?????
Kuna chizi mmoja alikuja kama
Wewe alikuwa anajiita Deo kisandu
Jaza miundombinu alafu mashabiki wasije uwanjani wala kufuatilia soka lako uone kama soka litakulipa. Ungekuwa unajua usingeandika ulichoandika.Umeandika kimasimini unataka soma likulipe vipi kama huna miundombinu wezeshi
Hizo issue ni rahisi mkiacha siasa na kuzipa fame simba na yanga na kuzibeba sanaJaza miundombinu alafu mashabiki wasije uwanjani wala kufuatilia soka lako uone kama soka litakulipa. Ungekuwa unajua usingeandika ulichoandika.
Ukitaka kujifunza kimyakimya jiulize kama Azam Fc amewahi kupata faida yoyote tangu amemiliki klabu ingali anamiliki miundombinu yote muhimu ya soka.
NB: sitakujibu tena kwa sababu umeandika kama unajua kila kitu.
😀Angeomba hata kuwa mtendaji pale kata ya airport labda.
Unafikiri walioanzisha worldcup, Olympic, EPL, formula one et.al hawana akiliHuo uboreshaji utakuwa na manufaa gani kwa wananchi? Unadhani maadui walioainishwa na Mwal Nyerere ambayo ni Maradhi, Ujinga na Umasikini yalishindwa kutatuliwa kwa kua viwanja havikua vimefanyiwa ukarabati?
Jambo la kwanza hakikisha viwanja vyote vilivyoporwa na CCM mwaka 1992 vinarudi serikalini.Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vitakuwa na mapaa, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni
Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama tukiwekeza sababu culture ya kupenda mpira ipo Tanzania
Viwanja ambavyo vitaboreshwa ni kama vifuatavyo
View attachment 3355696
- Kiwanja cha sokoine mbeya
- Kiwanja cha jamhuri morogoro
- Kiwanja cha ccm kirumba mwanza
- Kiwanja sheikh amri abeid arusha
- Kiwanja cha mkwakwani
- Kiwanja ally hassan mwinyi tabora
- Kiwanja cha dodoma
- Kila mkoa utajengwa uwanja wa kati ya watu elfu 15 mpaka elfu 20 kama hauna vile viwanja vya zamani
- Kutajengwa viwanja vikubwa vya kimkakati vya watu elfu 60 na kuendelea