Nikiwa Rais viwanja vyote vya zamani vyote vitaboreshwa na kuwa world-class na kila mkoa utajengwa kiwanja

Nikiwa Rais viwanja vyote vya zamani vyote vitaboreshwa na kuwa world-class na kila mkoa utajengwa kiwanja

Raisi nipate hata kavaluu kadogo mheshimiwa
bro utapata value kubwa kabisa, wahi viti virefu na share Lipa numba.
Kwanza leo kuna mechi ya Yanga vs JKT saa 10 jion.

Weekend ni kuenjoy na kupumzika.

Maisha yenyewe haya ni mafup sana na hayana Formula. So Enjoy while you can...
 
Huo uboreshaji utakuwa na manufaa gani kwa wananchi? Unadhani maadui walioainishwa na Mwal Nyerere ambayo ni Maradhi, Ujinga na Umasikini yalishindwa kutatuliwa kwa kua viwanja havikua vimefanyiwa ukarabati?
Uko mbali sana kifikra mpira ni ajira na una Multiplier effects kubwa sana kama kukiwa na uwekezaji
 
Hayo mabilioni ya kufanya hivyo unayatoa kwenye account zako za benki au kutoka jasho la mwananchi mlipa Kodi masikini?
 
Unajua bado Hujajibu hoja yangu
Kama fedha zinaweza kutumika kwa matumizi ya anasa na nyingi zinapotea bila maelezo naongelea mabilion unadhani hakuna fedha ya kuboresha miundombinu ya viwanja vya mpira

Kumbuka mpira ni ajira na una-multiplier effects kubwa sana kwenye uchumi kama kukiwa na uwekezaji ni tofauti na kununua magari ya kifahari kila mwaka kwa sh billion 300 ambayo hayamsaidii mwananchi moja kwa moja
 
Daah we hufai kuwa raisi yaani swali hili tu imeshindwa kujibu unaweka maelezo mengi
 
Ili mpira wetu uendelee kuna timu 2 zinabidi zivunjwe na zisiache traces zozote.
 
Uko mbali sana kifikra mpira ni ajira na una Multiplier effects kubwa sana kama kukiwa na uwekezaji
Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako kwanza uchaguliwe rais wa familia yako kabla hujaingia ngazi ya kitongoji,kijiji na kuendelea
 
Ili mpira wetu uendelee kuna timu 2 zinabidi zivunjwe na zisiache traces zozote.
Timu nyingine na wao wawezeshwe kifedha nimeongelea kwenye huu uzi
 
Back
Top Bottom