Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Ni ngumu ila Inawezekana ni wakati wa sisi kama vijana kuingia front sababu waliopo wanapigania familia zao ni wakati wa kuifanya nchi yetu kuwa nzuriHii nchi imeshatwaliwa na kumilikiwa na wachache
Nimeshaweka video inayotakiwaUkiachilia mbali video kutokufanana na ulichoandika pia sisi kama Taifa na uhalisia wake hatuna uhitaji wa viwanja vipya kila mkoa. Marekebisho katika viwanja vilivyojengwa zamani na kupewa jina la chama yanatosha kabisa kukidhi haja ya matumizi ya soka letu.
Hivyo vichache vya kimkakati inabidi vijumuishwe na hivi vilivyojengwa sasa. Inawezekana wakati ukiwa raisi tusiwe na uhitaji wa viwanja vipya. Bado soka halitulipi kabisa. Na pia bado hakuna njia zinazotengenezwa ili soka litulipe.
Jitihada nyingine ni hizi hapaUkiachilia mbali video kutokufanana na ulichoandika pia sisi kama Taifa na uhalisia wake hatuna uhitaji wa viwanja vipya kila mkoa. Marekebisho katika viwanja vilivyojengwa zamani na kupewa jina la chama yanatosha kabisa kukidhi haja ya matumizi ya soka letu.
Hivyo vichache vya kimkakati inabidi vijumuishwe na hivi vilivyojengwa sasa. Inawezekana wakati ukiwa raisi tusiwe na uhitaji wa viwanja vipya. Bado soka halitulipi kabisa. Na pia bado hakuna njia zinazotengenezwa ili soka litulipe.
Pamoja sanaT 2025 DR (Dennis Roberts)
Hakuna wa kushindana na ww boss
2025 nisipoona jina lako kwenye list ya wagombea urais sipigi kura na ntaleta vurugu ofisi za tume ya uchaguzi mkuu.Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni
Viwanja ambavyo vitaboreshwa ni kama vifuatavyo
- Kiwanja cha sokoine mbeya
- Kiwanja cha jamhuri morogoro
- Kiwanja cha ccm kirumba mwanza
- Kiwanja sheikh amri abeid arusha
- Kila mkoa utajengwa uwanja wa kati ya watu elfu 15 mpaka elfu 20
- Kutajengwa viwanja vikubwa vya kimkakati vya watu elfu 60 na kuendelea
View attachment 3338054
Hivyo viwanja vinamilikiwa na CCM, na sio vya UmmaViwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni
Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama tukiwekeza sababu culture ya kupenda mpira ipo Tanzania
Viwanja ambavyo vitaboreshwa ni kama vifuatavyo
- Kiwanja cha sokoine mbeya
- Kiwanja cha jamhuri morogoro
- Kiwanja cha ccm kirumba mwanza
- Kiwanja sheikh amri abeid arusha
- Kila mkoa utajengwa uwanja wa kati ya watu elfu 15 mpaka elfu 20
- Kutajengwa viwanja vikubwa vya kimkakati vya watu elfu 60 na kuendelea
View attachment 3338054
dah usha ahidiwa campaign manager au vice president nini tuambizane πππNaaam Mh Raisi.
Nimekupata
Bro tutulie, bado hajaunda wizara ila ww haukosekani bro. Tuvute subraπππ.dah usha ahidiwa campaign manager au vice president nini tuambizane πππ
Any way the future is ours with dennis robert the messiah of Tanzania πππ
Hapa tunasubiri 2025 "habemus presidentum" dΓ« @dinnis Roberts, ila usiniasahau kwenye teuzi mkuu na mimi nilambe asali ya nchiπViwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni
Multiplier effects ya mpira ni kubwa sana kama tukiwekeza sababu culture ya kupenda mpira ipo Tanzania
Viwanja ambavyo vitaboreshwa ni kama vifuatavyo
- Kiwanja cha sokoine mbeya
- Kiwanja cha jamhuri morogoro
- Kiwanja cha ccm kirumba mwanza
- Kiwanja sheikh amri abeid arusha
- Kila mkoa utajengwa uwanja wa kati ya watu elfu 15 mpaka elfu 20
- Kutajengwa viwanja vikubwa vya kimkakati vya watu elfu 60 na kuendelea
View attachment 3338054
Huo uboreshaji utakuwa na manufaa gani kwa wananchi? Unadhani maadui walioainishwa na Mwal Nyerere ambayo ni Maradhi, Ujinga na Umasikini yalishindwa kutatuliwa kwa kua viwanja havikua vimefanyiwa ukarabati?Viwanja vitaboreshwa vitawekwa nyasi za kisasa na sio kapeti, viti vitakua na namba, vyoo vitakua visafi, kutakua na VAR, vitakuwa visafi na hakutakua na mechi ya saa nane sababu viwanja vitakua na taa mechi zitaanza saa 11 jioni