Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
bro utapata value kubwa kabisa, wahi viti virefu na share Lipa numba.Raisi nipate hata kavaluu kadogo mheshimiwa
Uko mbali sana kifikra mpira ni ajira na una Multiplier effects kubwa sana kama kukiwa na uwekezajiHuo uboreshaji utakuwa na manufaa gani kwa wananchi? Unadhani maadui walioainishwa na Mwal Nyerere ambayo ni Maradhi, Ujinga na Umasikini yalishindwa kutatuliwa kwa kua viwanja havikua vimefanyiwa ukarabati?
Angeomba hata kuwa mtendaji pale kata ya airport labda.Wazo zuri ila sema kupenya kwenye huo Urais ndo kipengele
Nikukumbushe jasho lako linanunulia magari ya kifahar kwa billion 500Hayo mabilioni ya kufanya hivyo unayatoa kwenye account zako za benki au kutoka jasho la mwananchi mlipa Kodi masikini?
Omba weweAngeomba hata kuwa mtendaji pale kata ya airport labda.
Unajua bado Hujajibu hoja yanguNikukumbushe jasho lako linanunulia magari ya kifahar kwa billion 500
Soma report ya CAG uone jasho lako linavyoliwa na watu bila huruma miaka nenda rudi
Kama fedha zinaweza kutumika kwa matumizi ya anasa na nyingi zinapotea bila maelezo naongelea mabilion unadhani hakuna fedha ya kuboresha miundombinu ya viwanja vya mpiraUnajua bado Hujajibu hoja yangu
Daah we hufai kuwa raisi yaani swali hili tu imeshindwa kujibu unaweka maelezo mengiKama fedha zinaweza kutumika kwa matumizi ya anasa na nyingi zinapotea bila maelezo naongelea mabilion unadhani hakuna fedha ya kuboresha miundombinu ya viwanja vya mpira
Kumbuka mpira ni ajira na una-multiplier effects kubwa sana kwenye uchumi kama kukiwa na uwekezaji ni tofauti na kununua magari ya kifahari kila mwaka kwa sh billion 300 ambayo hayamsaidii mwananchi moja kwa moja
Fanya yaliyo ndani ya uwezo wako kwanza uchaguliwe rais wa familia yako kabla hujaingia ngazi ya kitongoji,kijiji na kuendeleaUko mbali sana kifikra mpira ni ajira na una Multiplier effects kubwa sana kama kukiwa na uwekezaji
Hizo ni fikra na mawazo yako ambayo unauhuru nayo ila siwezi kuyafuataFanya yaliyo ndani ya uwezo wako kwanza uchaguliwe rais wa familia yako kabla hujaingia ngazi ya kitongoji,kijiji na kuendelea
Timu nyingine na wao wawezeshwe kifedha nimeongelea kwenye huu uziIli mpira wetu uendelee kuna timu 2 zinabidi zivunjwe na zisiache traces zozote.
Wakati mwingine uwe na fikra jumuishi!Hizo ni fikra na mawazo yako ambayo unauhuru nayo ila siwezi kuyafuata
Nimeongea ukweli na umekosa jibuDaah we hufai kuwa raisi yaani swali hili tu imeshindwa kujibu unaweka maelezo mengi
Nina fikra jumuishi ndo maana na-share na watu huku jamiiforumWakati mwingine uwe na fikra jumuishi!
Work mate ushaula wewe, Rais anakuita kwenye mipango yake.....we sio mwenzetuNaaam Mh Raisi.
Nimekupata