Sijao SIHITAJJ KUOA KABISAAA
ila Nina watoto wawili.
Mmoja naishi nae (5 Yrs) na mama ake kaolewa ana maisha yake.
Ila mwengine/wa pili mama ake kagoma kunipa kwasababu ana mwaka na miezi 10 (Dec/2019).
Ila wiki hii nimeongea nae naona kama analegeza vile.
Maana kaniahidi mwezi wa 12 atamtuma home aje kunisalimia.
Nilichomuomba nae akiolewa anipe Mimi mtoto yeye akatafute wengine na huyo mume wake atakaye mpata.
SITAKI KUOA MY CHILDS ARE ENOUGH.
Siamini kama kupinga kuoa ni "Arrogant boy" maana hata huyo Tajiri wa India Rajan alishawahi sema "mahusiano hupunguza akili"
Kwahiyo kwa kauli hii ya Tajiri wa India nikisema nilinganishe mafanikio na akili basi ina maana
miss pablo HUNA AKILI maana yeye hana mahusiano NI TAJIRI..!!!
Lakini pia hata Bill gate na Bezos walishawahi nukuliwa "Nimeachana na ndoa kwasababu inanibana sanaa"
Wali maanisha NDOA zinafanya wasi concentrate na Mali zao.
Kwa staili hiyo..
Nikisema nii oppose hoja yako na opinion zao basi
miss pablo NDOA INAKUCHELEWESHA SANAA.
Matajiri wakina Dangote, Bill gate, na Benzos walishtuka kwa kuchelewa na kuachana na ndoa.
Ni hayo Tu.
#YNWA
#YNWA