Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

Wenyre connection pekee ndio watakao toboa.
 
Kila mtu na bahati zake kwenye swala la ajira...nikikumbuka 2015 niliyomaliza chuo, nilikuwa na uhakika wa ajira 100% kutokana na connection ya mzee wangu alikuwa kwenye hiyo private sector. [emoji23][emoji1787] Nilichotarajia kikawa tofauti kutokana na mwenda zake kuchukua nchi, Private sector nyingi zilikufa...
 
Pole sana mkuu.
Tulimaliza shule 2000-2005.
At least Furaha tulikuwa nayo
 
Hao wote ni askari wa kuja kuleta mabadiliko kwenye nchi yetu. Ni suala la muda tu kwani hali ilivyo mtaani inaonyesha siku za CCM za kwenda kuzimu zinakaribia.
 
Wakati wanaenda vyuoni mimi nilikuwa nauza supu asubuhi na chapati, jioni wakirudi mimi nilikuwa natoka kwenye kibarua cha ujenzi nilichoingia saa sita mchana! Nimejaliwa ka lodge sasa hivi! Hesabu simuamini mtu ng’o!!! Napiga mwenyewe oncome and expenditure na manunuzi nafanya mwenyewe!
 
sipingani na hoja yako ni murua na inafikirisha, kusoma tusome tu kadiri ya madarasa tutakayofikia na degree tuzipate kwa wingi ili serikali au taasisi fulani ikihitaji wasomi wa kuwafanyia kazi isikose wafanyakazi. Sasa tukiacha kusoma kwa hofu ya kukosa ajira na kupoteza muda mbona nchi itakosa wasomi wa fani mbalimbali? Tusome tu huku tukiwa na tendence ya kufanya shughuli zingine za kiuchumi ambazo hatukizosomea kuajiriwa kwazo na hazipo kwenye system ya mafunzo rasmi, kuna ujasiriamali na uthubutu wa kuanzisha miradi nje na taaluma zetu tulizosomea
 
Nahisi Kama, Ile Mobilization serikali haifanyi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…