Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 493
- 1,135
Kweli kabisa, kuna penzi na pesa kamwe usipige picha ukapostNasemajeeee hata kama penzi limekuwa tamuje usilipost, kaa kimya la sivyo unakaribisha wachawi
Ndio nani huyo Nikki?
Braza ake anaitwa Joh Makini, yupo makini kweli kweli, kuna ngoma yake moja mstari wake anasema "mimi siendi kwa wale" akimpiga dongo dogo wake Nikki.Ndio nani huyo Nikki?
😂😃 Alidhani Kibaha ni Kisarawe!!Mzee Mgaya huyo Ni dc was kisarawe wanasema kachipiwa so ndo unaona wanafukua kaburi
CCM ni Chama kikubwa sana!Braza ake anaitwa Joh Makini, yupo makini kweli kweli, kuna ngoma yake moja mstari wake anasema "mimi siendi kwa wale" akimpiga dongo dogo wake Nikki.
Ila kama vile kweli, kuna mtu aliwahi kuniambia pia macho ya watu ni mabaya, wasimuone demu wako mahusiano yatayumbaKweli kabisa, kuna penzi na pesa kamwe usipige picha ukapost
Watu Wana husda sana ni mambo ya kuepuka, yaani leo ukiwa na mafanikio ukipost kwa sifa zako ndo unajiongezea maadui.Kweli kabisa, kuna penzi na pesa kamwe usipige picha ukapost
Binadamu wengi huwa hawapendi kuona unafanikiwa, kuna mtu hata hamfahamian lakini anakuchukia na kukupiga vita. Ile kupost post watu huchukulia na kuona kama unawaringia vile na wenye husda hapo ndio wanaposema ngoja tumuoneshe si anaringa.Ila kama vile kweli, kuna mtu aliwahi kuniambia pia macho ya watu ni mabaya, wasimuone demu wako mahusiano yatayumba
Kabisa tena maadui wengi, kuweka maisha yako mitandaoni nayo ni mbaya sana.Watu Wana husda sana ni mambo ya kuepuka, yaani leo ukiwa na mafanikio ukipost kwa sifa zako ndo unajiongezea maadui.
Duh.....😄Kabisa tena maadui wengi, kuweka maisha yako mitandaoni nayo ni mbaya sana.
Kwaresma njema!Nchi hii kuna wapumbavu wengi sana, unapata muda kabisa kuandika huu upumbavu? Nyie watu ni wapumbavu mno