Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

Internet-Money

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2021
Posts
493
Reaction score
1,135
Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa ni 2019.

Watu wengi walijaribu kumkanya afute kauli yake -akiwemo Bill Nas na Pastor Mmoja hivi. But hakutaka kusikia.

MUNGU kamjibu 2023

Screenshot_20230223-103119.png




MUNGU hadhihakiwi hata siku mmoja
 
Ila kama vile kweli, kuna mtu aliwahi kuniambia pia macho ya watu ni mabaya, wasimuone demu wako mahusiano yatayumba
Binadamu wengi huwa hawapendi kuona unafanikiwa, kuna mtu hata hamfahamian lakini anakuchukia na kukupiga vita. Ile kupost post watu huchukulia na kuona kama unawaringia vile na wenye husda hapo ndio wanaposema ngoja tumuoneshe si anaringa.
 
Back
Top Bottom