Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Kaonyeshwa sasa kuwa kuna vidume viliumbwa kabla. Sio kumgongea tu, na mimba juu wakampa na mijitu ilivyo mishenzi ikamuachia ilee na mtoto kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatizo hii miviumbe inaweza ikashika mimba mfululizo lakini hata moja isiwe ya kwako.Ukiwa na chombo kizuri, hakikisha ndani ya muda mfupi anatotoa watoto wengi waliofuatana; hiyo ndio silaa kwa mwanaume. Tofauti na hapo, jiandae kwa matokeo ya aina yoyote
Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa ni 2019.
Watu wengi walijaribu kumkanya afute kauli yake -akiwemo Bill Nas na Pastor Mmoja hivi. But hakutaka kusikia.
MUNGU kamjibu 2023
View attachment 2527222
MUNGU hadhihakiwi hata siku mmoja
Una mke?MTU AU WATU WA KWANZA KUUMBWA WALIKUWA WANAWAKE, NA HIYO HAIKUWA KWA WATU TU BALI ILIKUWA KWA VIUMBE HAI WENGINE KAMA WANYAMA, NDEGE NK,.
Kusema kwamba Adam ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa ni UONGO, Maneno ya Biblia kwamba; Hawa (eva) alitolewa ubavuni kwa Adamu hayo ni maneno ya "ki idiom" na wala hayamaanishi kwamba Hawa alitokea ubavuni kwa Adam kidhahiri.
Kwa hilo mimi namuunga mkono Nikki.
Hatumuachiii 😅😅😅😅😅WAtu tupunguze chuki zisizo na tija jamani...ukute yeye ashamove on..ila sisi mahohehahe sasa🙌
Inaitwaje hii ngomaBraza ake anaitwa Joh Makini, yupo makini kweli kweli, kuna ngoma yake moja mstari wake anasema "mimi siendi kwa wale" akimpiga dongo dogo wake Nikki.
Una mke?
Kwahiyo quran na bible vimetudanganya? Ebu lete ufafanuzi hapa tuelewe mkuuWewe unamtaka mke wangu wa nini?? wanawake ndio viumbe hai walioumbwa kwanza kabla ya wanaume, ni kutokana na mwanamke ndipo wakazaliwa wanawake na wanaume wengine na hapo ndipo mfumo wa kuzaliana ulipoanzia.
Isitoshe ile dhana ya kwamba Adamu ndiye mtu wa kwanza kuumbwa nayo ni "spiritual idiom", haina maana dhahiri kwamba huyo Adam ambaye aliishi takriban miaka 6000 iliyopita ndie awe mtu wa kwanza kuumbwa ilihali kuna mafuvu ya watu wakale walioishi takriban miaka 1000,000 iliyopita, katika hali hii utasemaje Adam ndiye mtu wa kwanza kuumbwa??!, ndio maana lazima tukubali kwamba inaposemwa Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa hilo ni fumbo la kiimani (a spiritual idiom), muda ukiruhusu nitafafanua kwa kirefu kuhusu hilo jambo.
Hii n Kawaida kwa mtu aliyetombewa mkuu na zuri n mtoto wa prof wa pale jalalaniNchi hii kuna wapumbavu wengi sana, unapata muda kabisa kuandika huu upumbavu? Nyie watu ni wapumbavu mno
Kwahiyo quran na bible vimetudanganya? Ebu lete ufafanuzi hapa tuelewe mkuu
Ushoga unaanza hivyo hivyo, sishangai kuona na wewe umeingia hukoHii n Kawaida kwa mtu aliyetombewa mkuu na zuri n mtoto wa prof wa pale jalalani
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sio demu tu,kama hauna nguvu ya Mungu ukijiianika umekwisha,kuna watu hawapendi mafanikio ya wengineIla kama vile kweli, kuna mtu aliwahi kuniambia pia macho ya watu ni mabaya, wasimuone demu wako mahusiano yatayumba
Huyo ni manziUna mke?
Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa ni 2019.
Watu wengi walijaribu kumkanya afute kauli yake -akiwemo Bill Nas na Pastor Mmoja hivi. But hakutaka kusikia.
MUNGU kamjibu 2023
View attachment 2527222
MUNGU hadhihakiwi hata siku mmoja
Mafanikio yako weka siri.Watu Wana husda sana ni mambo ya kuepuka, yaani leo ukiwa na mafanikio ukipost kwa sifa zako ndo unajiongezea maadui.
Jamaa naona akaona hata Bible imekosea .Ushambaa wa matwakooo na rangiii akaona mama zuri ndo dunia yanii..