Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Napiga picha kama Gara B ,Ukiwa na chombo kizuri, hakikisha ndani ya muda mfupi anatotoa watoto wengi waliofuatana; hiyo ndio silaa kwa mwanaume. Tofauti na hapo, jiandae kwa matokeo ya aina yoyote
Shape ya mkewe.
Jamaa nasikia kamkataza kufanya kazi afu mkewe anamastors.
So ni mama wa nyumbani.
Kapiga watoto 5.