Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

Ukiwa na chombo kizuri, hakikisha ndani ya muda mfupi anatotoa watoto wengi waliofuatana; hiyo ndio silaa kwa mwanaume. Tofauti na hapo, jiandae kwa matokeo ya aina yoyote
tatizo hii miviumbe inaweza ikashika mimba mfululizo lakini hata moja isiwe ya kwako.

Mwanamke kumithilishwa na nyoka ni sahihi kabisa. Ni sumu kali mno.
 


MTU AU WATU WA KWANZA KUUMBWA WALIKUWA WANAWAKE, NA HIYO HAIKUWA KWA WATU TU BALI ILIKUWA KWA VIUMBE HAI WENGINE KAMA WANYAMA, NDEGE NK,.

Kusema kwamba Adam ndiye alikuwa mtu wa kwanza kuumbwa ni UONGO, Maneno ya Biblia kwamba; Hawa (eva) alitolewa ubavuni kwa Adamu hayo ni maneno ya "ki idiom" na wala hayamaanishi kwamba Hawa alitokea ubavuni kwa Adam kidhahiri.

Kwa hilo mimi namuunga mkono Nikki.
 
Una mke?
 


Wewe unamtaka mke wangu wa nini?? wanawake ndio viumbe hai walioumbwa kwanza kabla ya wanaume, ni kutokana na mwanamke ndipo wakazaliwa wanawake na wanaume wengine na hapo ndipo mfumo wa kuzaliana ulipoanzia.

Isitoshe ile dhana ya kwamba Adamu ndiye mtu wa kwanza kuumbwa nayo ni "spiritual idiom", haina maana dhahiri kwamba huyo Adam ambaye aliishi takriban miaka 6000 iliyopita ndie awe mtu wa kwanza kuumbwa ilihali kuna mafuvu ya watu wakale walioishi takriban miaka 1000,000 iliyopita, katika hali hii utasemaje Adam ndiye mtu wa kwanza kuumbwa??!, ndio maana lazima tukubali kwamba inaposemwa Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa hilo ni fumbo la kiimani (a spiritual idiom), muda ukiruhusu nitafafanua kwa kirefu kuhusu hilo jambo.
 
Kwahiyo quran na bible vimetudanganya? Ebu lete ufafanuzi hapa tuelewe mkuu
 
Sisi wanadamu ni kumjulisha Nikki kuwa Neno la Mungu halina michongo michongo ndani.

Mengine atajua na Mungu wake maana hajatukosea sisi kamkosea Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…