Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

Napiga picha kama Gara B ,
Shape ya mkewe.
Jamaa nasikia kamkataza kufanya kazi afu mkewe anamastors.
So ni mama wa nyumbani.
Kapiga watoto 5.
Ndio hivyo mkuu, lazima utumie mbinu za kibaharia lasivyo ukimuachia utasikia leo yuko Dubai, kesho uturuki n.k na huko anakutana na watu wenye mpunga wa kutosha.
 
Atajua mwen
Yewe mimi hainihusu
 
Atajua mwen
Yewe mimi hainihusu
 
Mungu hadhihakiwi, nadhani dogo baada ya kupata mwanamke mrembo sana akasahau kua huyo aliumbwa na Mungu ili awe msaidizi tu kwa mwanaume, dogo akaona amtukuze mwanamke huyo kinyume na matakwa ya Mungu.

Na wanaume wengi wanaowatukuza wanawake na kujifanya "kuwatetea" ati wawe na usawa na manaume hua ni wanaume limbukeni na hua wanatendwa sana. Mwanamke anatakiwa kutawaliwa kwa Mujibu wa Biblia kitabu cha Mwanzo na sio kunyenyekewa.

Ukimnyenyekea mwanamke lazima tu atakudharau, na huyo dogo nilijua tu anachapiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…