Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Huyu aliyeandika hapa ni mwanamke
 
Uliona mishangazi ya ki'chaga/ kiboroloni kwenye mkutano na Waziri mkuu?
Yani wanapambana hawana mbambamba!
Shangazi kama shangaziπŸ˜‚
Yule mama katrend.


Kulikuwa na mama mwingine tumefanya naye biashara,aloo mama mmarangu anaijua pesa yule πŸ˜‚πŸ™Œ
Mrembo,,,ana shepu na anafanya mazoezi kutengeneza tumbo🀣..
Huwa ananipa motisha sana yule Mama.
 
Rapa msomi kutoka kiwanda Cha bongo fleva Nikki wa Pili amemvisha Pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi , akitarajia kuaga rasmi kambi ya ukapela
View attachment 960833
Ukiona mwanaume anapoga kiti kwa mwanamke juwa mwanaume huyo ameuza uwanaume wake siku ya uchumba usije shangaa kuona mengi mbele ya safari. Ujinga kama huu unawatesa sana vijana hasa wanapo ingia ktk ndoa nakusahau waliuza uwanaume wao siku ya kwanza ya uchumba. Let keep silence and see πŸ™ˆ
 
Acha kumfokea NIKKI
 
Kupoga ndo nini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…