Huna hiyo pesa sijasoma yote ila huna hiyo hela, utajiuliza why nahoji? Simple tu my instinct tells me. Usitafute umaarufu wa kijinga mzee.Nimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo
Je wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea,majungu na fitina? Pambana.
"Jamii forum sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu
Hana biashara yeyote show off tuMkuu unajushughulisha na biashara gani?
Dogo huna hiyo pesa acha uzwazwaSi lazima uniamini mkuu
Unaona sasa
Kijana yaan pesa Za kampuni yangu unakuja kujitambia Jamii forum kweelNimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo.
Je, wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea, majungu na fitina? Pambana.
Jamii forums sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu.
Mleta mada ni mjinga atafute vibarua Masika hiiView attachment 2480632
Kazi ipo… njoeni mbebe mtu wenu.
😀😀😀😀kwanza kampuni ipi??Kijana yaan pesa Za kampuni unakuja kujitambia Jamii forum kweel
Juma tatu nisikuone kazini
Nitumie buku shemejiMid 30s
Only aftatu in my bank account.
M pesa ni zero
Cash in hand afu moja.
Na niko tu palee najiEnjoy na free oxygen
Ogopa mungu na teknolojia[emoji2957][emoji2957][emoji2957]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaomba radhi kwa wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital yetu ya crazy for life.
Ndugu Mwana mzizima, alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu ya ofisi na Sasa anaropoka hovyo tu.
Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia hivyo mvumilieni.
Ninaambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital yetu.
View attachment 2480615
Kumbe alishapakwa mafuta!? Dah! Dunia imekwisha.Oyaaaa mbona umetukimbia bila kusema neno kwenye thread yako ya kupakwa mafuta [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa sisi zinatuhusu nini hizo shekeli zako. Utakuwa mhaya wewe
Kwahiyo vitu ninavyo post humu wewe unachukulia serious?
Nyimbo kali sana vp unaweza kunitumia nyingine?