Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

Nimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo.

Je, wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea, majungu na fitina? Pambana.

Jamii forums sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu.
Kuna watu ni mabilionea wakiwa na umri wa miaka 20 au chini ya hapo na hawasemi.

Wewe kupata gap la kula makombo ya pesa za tozo unaanza kuleta shombo humu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa alikua hivyo sasa hivi, ameingia upinde wa mvua
 
Nimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo.

Je, wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea, majungu na fitina? Pambana.

Jamii forums sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu.
Hela za mirathi zinasumbua vijana
 
Wewe nimekuwa nakutana na post zako zisizoeleweka zimejaa utumbo nikikusoma kwa umakini sijui hata kama unaweza ku-spell 50mill kwa tarakimu

Usichokijua kuhusu pesa huwa zina namna ya kumtambulisha mtu akajulikana hata na wale wasiomjua kupitia maandishi yake (kama hivi Jamiiforums) muonekano wake na hata namna anavyoongea.
Kumbe kuna watu post zangu wanazichukulia serious? Nawapoteza maboya
 
Kumbe alishapakwa mafuta!? Dah! Dunia imekwisha.

Nimecheka sana jamàa kanifurahisha
 
Nimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo.

Je, wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea, majungu na fitina? Pambana.

Jamii forums sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu.
Mimi Niko na 1000 na Amani moyoni cjui ww
 
Back
Top Bottom