Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

Una kiwango kikubwa cha upopoma



Ops jiandae huko piemu
Na watakaokuja ni wagonjwa km wew
 
Hongera, hapa nilipo Leicester City keshachana mkeka wangu nina shilingi 17,300 kwenye akaunti yangu...najaribu kujitathimini 🐒
 
Nimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo.

Je, wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea, majungu na fitina? Pambana.

Jamii forums sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu.
Jf siku hizi imekua kama fb ujinga mwingi
 
Back
Top Bottom