Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

Dogo una ugonjwa wa umaskini, matajiri hatuandikagi hivi, yaani kamilioni 50 unakuja kuwatukana watu huku JF hiyo milioni 50 si ni hela yangu ya miezi miwili tu kwenye mshahara wangu huku canada, hapo sijaja bongo kukusanya pesa za kodi za nyumba 10 nilizojenga miaka 4 iliyopita.. am 35 years now ila siwatukanagi watu maana najua kuna mstari mwembamba sana unaowatenganisha maskini na tajiri.. ukichanganya unabaki upande unaostahili..Be humble always.
Wapi nimewatukana hao watu unaowasema? Nenda kanyanyue box ๐Ÿ“ฆ ataacha na muda
 

Nimecheka sana jamร a kanifurahisha
Astaghfirullah!! Nimesoma kijana amefanyiwa shambulio la aibu, nadhani hii inaweza kuleta msongo wa mawazo na kusababisha kuleta mada kama hizi!
 
Wewe kijana safi umefanya nini? Zaidi ya mafisadi wa ccm kuwapiga hela? Nyie waTanzania wengi wenu ni mburula
Nimefanikwa kujielimisha kiasi ambacho sina ujinga na upumbavu uliotukuka wa kiwango chako.
 
Anadaiwa kodi, mvua zinanyesha, mke kakimbia hajuwi atakula nini anamawazo angepata milion 50 shida zinakwisha kaka tajiri hasemi mimi tajiri. Ila maskini anasema yeye maskini kama wewe
 
HONGERA kama upo miaka 20 una akiba ya millioni 50! keep the spirit! miaka 20 sikuwa na kiasi hicho nilikuwa kula kulala!
 
Mkuu share location wakufate uanze dozi kabla tatizo halijawa kubwa
 
Back
Top Bottom