Kuna watu ni mabilionea wakiwa na umri wa miaka 20 au chini ya hapo na hawasemi.Nimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo.
Je, wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea, majungu na fitina? Pambana.
Jamii forums sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu.
Mwehu huyu.
Vp imekuuma?Kuna watu ni mabilionea wakiwa na umri wa miaka 20 au chini ya hapo na hawasemi.
Wewe kupata gap la kula makombo ya pesa za tozo unaanza kuleta shombo humu?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Bie wapi na mimi niingie kwenye hicho chamaKuna jamaa alikua hivyo sasa hivi, ameingia upinde wa mvua
Hela za mirathi zinasumbua vijanaNimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo.
Je, wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea, majungu na fitina? Pambana.
Jamii forums sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu.
Jiue nyie mnaharibu hewaMid 30s
Only aftatu in my bank account.
M pesa ni zero
Cash in hand afu moja.
Na niko tu palee najiEnjoy na free oxygen
Kumbe kuna watu post zangu wanazichukulia serious? Nawapoteza maboyaWewe nimekuwa nakutana na post zako zisizoeleweka zimejaa utumbo nikikusoma kwa umakini sijui hata kama unaweza ku-spell 50mill kwa tarakimu
Usichokijua kuhusu pesa huwa zina namna ya kumtambulisha mtu akajulikana hata na wale wasiomjua kupitia maandishi yake (kama hivi Jamiiforums) muonekano wake na hata namna anavyoongea.
Kumbe alishapakwa mafuta!? Dah! Dunia imekwisha.
Kanikera sana kunitangaz pasina me kutakaππππkwanza kampuni ipi??
Wewe kijana safi umefanya nini? Zaidi ya mafisadi wa ccm kuwapiga hela? Nyie waTanzania wengi wenu ni mburulaJf imevamiwa na vijana wa hovyo ..
t anything serious you will suffer from GERD mke wa rand orton
Akili zinauzwa wapi?Kanunue shati,suruali na akili.
Sarawili na shumizi wanauza wapi?Akili zinauzwa wapi?
Mimi Niko na 1000 na Amani moyoni cjui wwNimezaliwa katikati ya miaka ya 90 hospitali moja kubwa hapa nchini kwa maana hiyo kwa sasa niko 20's na approach 30 sasa. Ila kikubwa niko na 50 milion of money kwenye account ya bank moja hapa nchini bado kwenye bank zingine ninazo mipunga mingine ya kutosha kwasababu ya discipline yangu ya pesa japo sijaoa na sina mpango huo.
Je, wewe mwenzangu kwa huo umri wako umesave shilingi ngapi? Au wewe ni full Bata? Kwa umri wako mpaka sasa unahaha na shilingi 10000 huo ni ujinga na ukichaa au umesave umbea, majungu na fitina? Pambana.
Jamii forums sie wengine ni platform ya kuondoa stress na kujoin na wana! Mimi ni introvert si mtu ku interact na watu" simu ndiyo mshikaji wangu.
Are you panic π³? Nakushauri kasome kitabu cha four agreement cha Don Miguel you are not normal at allSarawili na shumizi wanauza wapi?
UweMimi Niko na 1000 na Amani moyoni cjui ww
"Are you panic?"Kweli I'm panic!ππππAre you panic π³? Nakushauri kasome kitabu cha four agreement cha Don Miguel you are not normal at all