Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

Wapi nimewatukana hao watu unaowasema? Nenda kanyanyue box πŸ“¦ ataacha na muda
 
Astaghfirullah!! Nimesoma kijana amefanyiwa shambulio la aibu, nadhani hii inaweza kuleta msongo wa mawazo na kusababisha kuleta mada kama hizi!
 
Wewe kijana safi umefanya nini? Zaidi ya mafisadi wa ccm kuwapiga hela? Nyie waTanzania wengi wenu ni mburula
Nimefanikwa kujielimisha kiasi ambacho sina ujinga na upumbavu uliotukuka wa kiwango chako.
 
Anadaiwa kodi, mvua zinanyesha, mke kakimbia hajuwi atakula nini anamawazo angepata milion 50 shida zinakwisha kaka tajiri hasemi mimi tajiri. Ila maskini anasema yeye maskini kama wewe
 
HONGERA kama upo miaka 20 una akiba ya millioni 50! keep the spirit! miaka 20 sikuwa na kiasi hicho nilikuwa kula kulala!
 
Mkuu share location wakufate uanze dozi kabla tatizo halijawa kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…