Niko 20's na akiba ya milioni 50, wewe je?

Una kiwango kikubwa cha upopoma



Ops jiandae huko piemu
Na watakaokuja ni wagonjwa km wew
 
Hongera, hapa nilipo Leicester City keshachana mkeka wangu nina shilingi 17,300 kwenye akaunti yangu...najaribu kujitathimini 🐒
 
Jf siku hizi imekua kama fb ujinga mwingi
 
Sasa mbona unaenda chooni kama sisi. Huo si ni ufala na ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…