Niko addicted na JamiiForums

Hivi kipindi hiko 2013-2014 mliaminianaje kirahis hvo mkawa mnapeana namba kirahis? Maaana kulikuwa hot sana kipindi kile ukitamka jf mtu anajua kbs we ni mtu wa siasa na serikali ilikua macho sana
 
Najuta Sana kuchelewa kujiunga JF,kumbe ilikuwa Tami kiasi hicho?
Afu naskia pia palikuwepo na jukwaa la " wakubwa tu"πŸ˜‚
 
Hivi kipindi hiko 2013-2014 mliaminianaje kirahis hvo mkawa mnapeana namba kirahis? Maaana kulikuwa hot sana kipindi kile ukitamka jf mtu anajua kbs we ni mtu wa siasa na serikali ilikua macho sana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu we acha tu, na kipindi kile Jamiiforums ilikuwa ina operate virtually, na watu wengi walikuwa wanashusha nondo za nguvu zile quotes zako na reactions kwa Member ndio zilikuwa zinaleta ukaribu. Halafu watu wengi humu walikuwa wana misimamo kwenye hoja. Majukwaa yalikuwa yamegawanyika kabisa. Members fulani ni MMU, Members fulani ni Siasa, Members fulani walikuwa kwenye jukwaa la dini. Sio siku hizi uzi wa Siasa unaanzishwa hata kwenye jukwaa la Sports. Kuaminiana ndio kulikuwa kunaanzia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…