๐ ๐ ๐
Aisee sio mchezo, kuna jamaa mmoja alikuwa ni Pro Chadema na ana matusi na masikhara mengi sana, kumbe alikua ni Doctor Uingereza huko na alikuwa anachukuwa PhD lakin huwezi kumfikria, Halafu ni Bageshi kabisa kanda ya Ziwa. Kuna siku mwaka 2013 kani pm nimpe namba. Baadaye akanipigia nikamfuata pale NSSF Posta kulikuwa na Hotel inaitwa J Bellmonte. Nikaenda pale nikamkuta na Mke wake. Aisee kwanza sikuamini kama ndio yeye na Yeye hakuamini ndio Mimi. Tulia hang on pale mpaka saa 8 usiku na Mke wake alikuwa ni Afisa wa Bank fulani hapa mjini. Akalazimisha sana tuondoke.