Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
NImeamka saa kumi kasoro 20 muda huu usiku.
Nikawasha Data naona bando limeisha.
Nikajiunga bando. Nikaaingia mtandaoni nikaona Web browsee zinagoma kufunguka.
Nikawasha VPN ikagoma.
Nikasema moyoni mbona kama yale ya 2020 ndio kama haya?
Nikazima simu, nikawasha bado shida iko pale pale.
Mimi jana nilinunua Mbuzi kwa ajili ya kusherehekea Ushindi wa Tundu Antiphas Lissu Baraka na Neema kutoka kwa Allah.
Wewe Mwenzangu umejiandaaje kusherehekea ukombozi huu wa Taifa?
Kila mtu kwa kadri ya uwezo wake, kama utachinja kuku sawa, kama utakula supu kwa Mama Ntilie sawa, au kama utapiga Pombe au viroba poa tu.
Alimradi tu kila mtu asherehekee na kufurahisha moyo wake.
Tunakutakia kila lililo Kheri Mh Tundu Lissu na Mh Heche.