Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Usahili utumishi wa umma watu 1200 hadi 2000 wanapanga foleni wanakaguliwa vyeti mmoja mmoja.Uwazi kuondoa malalamiko ya kura feki na kadhalika...huoni MTU anaitwa jina anapewa karatasi anaweka box zipo hadharani... Ngoja nkamalizie huu uchaguzi ofisini maana pamekucha..
Wanaingia kufanya mtihani 2hrs wanatoka.
CHADEMA ilitakiwa kuhakiki wajumbe na kupiga kura 2hrs, kuhesabu 2hrs Kwisha kazi.
Mida hii Mbowe analia au Lissu analia siyo hivi zaidi ya 8hrs.!!!