Usahili utumishi wa umma watu 1200 hadi 2000 wanapanga foleni wanakaguliwa vyeti mmoja mmoja.Uwazi kuondoa malalamiko ya kura feki na kadhalika...huoni MTU anaitwa jina anapewa karatasi anaweka box zipo hadharani... Ngoja nkamalizie huu uchaguzi ofisini maana pamekucha..
Kuna wageni waaalikwa wengi sana. Kutoka pande zote za dunia.
Hawa kuwaalika tu na kutimiza protocol na usalama wao pekee ni masaa manne.
Utambulisho wq wageni zaidi ya 500, uhakiki sio ulea kuangalia veti mkononi ni biometric😆😆Usahili utumishi wa umma watu 1200 hadi 2000 wanapanga foleni wanakaguliwa vyeti mmoja mmoja.
Wanaingia kufanya mtihani 2hrs wanatoka.
CHADEMA ilitakiwa kuhakiki wajumbe na kupiga kura 2hrs, kuhesabu 2hrs Kwisha kazi.
Mida hii Mbowe analia au Lissu analia siyo hivi zaidi ya 8hrs.!!!
Ndo naamka sa hiv ,nmeota jamaa mmoja alkua ameshka box kubwa la kura kila kura zinapohesabiwa yy anarushis zingine huku ndan alaf wakawa hawamuoni ,na mm nlikua Sina uwezo wa kuongea na nkionyesha Kwa ishara hawanioni kama Kuna kitu naashria...Uchaguzi wa chadema umekidhi viwango vya kimataifa
Kama kuna uanachama wa kidigitali, kwa nini kusiwe na uhakiki wa kidigitali pia?Utambulisho wq wageni zaidi ya 500, uhakiki sio ulea kuangalia veti mkononi ni biometric😆😆
Mshana haulali mkuu,mda wote unatrend tu mzee aseh!!kwema lkn,tupe matokeo mkuu,maana we japo uko mbali,lkn ni kama vile umekesha ukumbini.
Mkuu sisi huku tuliko ni mchana ujue.. Mambo yanaenda vema kabisa tuwe watulivu.. Mambo mazuri hayataki harakaMshana haulali mkuu,mda wote unatrend tu mzee aseh!!kwema lkn,tupe matokeo mkuu,maana we japo uko mbali,lkn ni kama vile umekesha ukumbini.
TCRA ni yako?Kama kuna uanachama wa kidigitali, kwa nini kusiwe na uhakiki wa kidigitali pia?
Mambo motooooMambo badoo
Biometric ndiyo faster zaidi kuliko kilaza mmoja anafungua vyeti vyako vitatu anahakiki uhalali anakukagua usoni anakuruhusu.Utambulisho wq wageni zaidi ya 500, uhakiki sio ulea kuangalia veti mkononi ni biometric😆😆
Mkuu umelala umevimbiwa unaona unaota ndoto za Malue lue.Ndo naamka sa hiv ,nmeota jamaa mmoja alkua ameshka box kubwa la kura kila kura zinapohesabiwa yy anarushis zingine huku ndan alaf wakawa hawamuoni ,na mm nlikua Sina uwezo wa kuongea na nkionyesha Kwa ishara hawanioni kama Kuna kitu naashria...
Sio vibaya tunajifunza kupitia makosa.Biometric ndiyo faster zaidi kuliko kilaza mmoja anafungua vyeti vyako vitatu anahakiki uhalali anakukagua usoni anakuruhusu.
Biometric unagusa ina tick umevuka.
Hapa tukubali Kuna mtu anapigwa na mizengwe muda huu.
Subiri kilio asubuhi.
Nieleweshe TCRA wanakwamishaje uhakiki kidijitali?TCRA ni yako?
Hili ndiyo jibu sahihi.Sio vibaya tunajifunza kupitia makosa.
No way. Kila kitu kitakuwa sawaHili ndiyo jibu sahihi.
Wasi wasi wangu Lissu atafanyiwa ubaya hapa.
Basi jifunze kwanza Biometric inafajyaje kazi. It is computerisedNieleweshe TCRA wanakwamishaje uhakiki kidijitali?
Hapa nimekuwa kilaza.
Swali la mtego lile.Basi jifunze kwanza Biometric inafajyaje kazi. It is computerised
Hahahah sawaSwali la mtego lile.
By profession ni mtu wa ICT.
Jalalani nilisomea Comp Science.