Niko Nachinja Mbuzi wa Sherehe, wewe umejiandaaaje Ushindi wa Lissu?

Masanduku ya kura yameshikiliwa na vijana wa Muliro, ndiyo maana matokeo hayatolewi
 
Anza kumchinja na kuwaalika majirani, mambo ni tayari.
 
Wajumbe wakileta ujinga wanaweza wakawa ndiyo wamepiga kura ya kunipumzisha humu JF.
Hata hivyo wajimbe hawajanifurahisha.......Inaonekana walipewa Mpunga Mrefu pamoja vitisho....may be.

Maana ushindi umekuwa mwembamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…